LGE2024 Tundu Lissu: 2019 Hayati Magufuli hakuua Mtu hata Mmoja alifutafuta tu Uchaguzi, tulikosea kumdhania ni muuaji!

LGE2024 Tundu Lissu: 2019 Hayati Magufuli hakuua Mtu hata Mmoja alifutafuta tu Uchaguzi, tulikosea kumdhania ni muuaji!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huyo simuamini hata aandike nini humu jamaa aliniaminisha kwamba DAB kavuta SA sababu kalishwa sumu si nikaanza kusambaza uduvi mara paap DAB anakagua Airport Arusha nilionekana km Mchawi fulani hivi mpaka leo wale niliowaambia hawaamini km na Mimi niliambiwa na huyu mwamba hizi taarifa za uzushi huyu jamaa ni bingwa
Alikuingiza mkenge 😂😂😂

Lakini si huyu ndo alitabiri kifo Cha magufuli au nimechanganya mafaili ?
 
Alikuingiza mkenge 😂😂😂

Lakini si huyu ndo alitabiri kifo Cha magufuli au nimechanganya mafaili ?
Alitabiri wapi hakuna kitu km hicho mzushi tu huyo muongo muongo
 
Alphonce Mawazo kauwawa na CCM
Ben saa nane
Azory Gwanda
Lajwabe
Akwilina

Yaan haijalishi kauwawa kwenye uchaguzi au kwenye siasa za kawaida

Mimi ni CCM, ninayepinga Mauaji

Britanicca
Safi sana tupo wengi ambao ni CCM tusiokubali upumbavu huu wa sasa 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom