Boniface Mwakola
Member
- Sep 13, 2024
- 76
- 39
Hakika mtanikumbuka
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Uchaguzi wa 2019 hakuna Mtu aliuawa
" hayati Magufuli alifutafuta tu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lakini hakuuwa Mtu hata Mmoja"
Hakika Shujaa Magufuli 🌹 alisingiziwa mengi
Ameandika John Pambalu Ukurasani X
Mlale unono 😀