Boniface Mwakola
Member
- Sep 13, 2024
- 76
- 39
Hakika mtanikumbuka
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Uchaguzi wa 2019 hakuna Mtu aliuawa
" hayati Magufuli alifutafuta tu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lakini hakuuwa Mtu hata Mmoja"
Hakika Shujaa Magufuli πΉ alisingiziwa mengi
Ameandika John Pambalu Ukurasani X
Mlale unono π
Vice versa is true .Jamaa yangu wewe kila unachoandika sikuamini yaan chochote utakachoandika humu sikuamini hata robo
Huyo simuamini hata aandike nini humu jamaa aliniaminisha kwamba DAB kavuta SA sababu kalishwa sumu si nikaanza kusambaza uduvi mara paap DAB anakagua Airport Arusha nilionekana km Mchawi fulani hivi mpaka leo wale niliowaambia hawaamini km na Mimi niliambiwa na huyu mwamba hizi taarifa za uzushi huyu jamaa ni bingwaVice versa is true .
ππNa Mimi nikupe ushuhuda wa alichosema kikatokea? Njia hiyo hiyo waliopita wanaisrael walicheka lakin walipopita wamisri walisaga menoπ€£π€£Huyo simuamini hata aandike nini humu jamaa aliniaminisha kwamba DAB kavuta SA sababu kalishwa sumu si nikaanza kusambaza uduvi mara paap DAB anakagua Airport Arusha nilionekana km Mchawi fulani hivi mpaka leo wale niliowaambia hawaamini km na Mimi niliambiwa na huyu mwamba hizi taarifa za uzushi huyu jamaa ni bingwa
Wewe kwa sasa huaminiki na mtu na umeshapoteza sifa za kuaminika na ndio maana kwa sasa unapuuzwa humu jukwaani kwa sababu ya kuleta habari za uongo,uzushi na upashikuna. Kwa sasa hakuna mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua atakaye kuamini tenaAlphonce Mawazo kauwawa na CCM
Ben saa nane
Azory Gwanda
Lajwabe
Akwilina
Yaan haijalishi kauwawa kwenye uchaguzi au kwenye siasa za kawaida
Mimi ni CCM, ninayepinga Mauaji
Britanicca
Ni NGO imesajiliwa pale Magomeni πWajinga nyie ndiyo mnajidanganya hivyo, kwa hiyo na TLS ni ya Wilaya?
Vita vya Kiuchumi πΌAtazikwa tarehe 3
Njia gani hio?ππNa Mimi nikupe ushuhuda wa alichosema kikatokea? Njia hiyo hiyo waliopita wanaisrael walicheka lakin walipopita wamisri walisaga menoπ€£π€£
ππππ₯Bado hujasema?
USSR
Sikiliza vizuri Acha kupotosha wewe
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Uchaguzi wa 2019 hakuna Mtu aliuawa
" hayati Magufuli alifutafuta tu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lakini hakuuwa Mtu hata Mmoja"
Hakika Shujaa Magufuli πΉ alisingiziwa mengi
Ameandika John Pambalu Ukurasani X
Mlale unono π
Umewekewa Ili usikilize mwenyewe acha ututusa πΌπSikiliza vizuri Acha kupotosha wewe
Umemusahau na Mwangosi na ulimboka iv Dr. Olomboka alikufa au ilikuwaje 2012?Alphonce Mawazo kauwawa na CCM
Ben saa nane
Azory Gwanda
Lajwabe
Akwilina
Yaan haijalishi kauwawa kwenye uchaguzi au kwenye siasa za kawaida
Mimi ni CCM, ninayepinga Mauaji
Britanicca
Tanganyika ni wilaya DC Lijualikali wa CHADEMA
Bwashee ulipita mafunzo ya JKT au hata Mgambo miezi 3?..anachosema Lissu ni kwamba uchaguzi wa 2019 haukufanyika hivyo hakukuwa na mauaji.
..lakini Lissu amesikika mara nyingi akisema marisasi aliyopigwa aliyetoa amri alikuwa Joni Pombe Magufuli.
Ulimboka yuko USAUmemusahau na Mwangosi na ulimboka iv Dr. Olomboka alikufa au ilikuwaje 2012?