LGE2024 Tundu Lissu: 2019 Hayati Magufuli hakuua Mtu hata Mmoja alifutafuta tu Uchaguzi, tulikosea kumdhania ni muuaji!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Magufuli hakuua mtu kwenye uchaguzi wa kijiji ,huyo mama ameua watu kwenye uchaguzi wa kijiji na vitongoji".

Haiondoi ukweli wa kuuawawa kwa Ben,azory,kanguye kwenye awamu yake ,hapo anazungumzia uchaguzi tu.
 
Magu alisikika akisema "Mtanikumbuka,si kwa mabaya bali kwa mema" mwisho wa kunukuu.

Ni bahati mbaya sana upinzani,haukujua namna ya kula na magu.
Mimi nilivyoona magu alikuwa anafanyia kazi hoja za upinzani. Pale walipombeza badala ya kumpongeza kwa kufanyia kazi mawazo yao akawa adui yao na kupingana nao.


Wangejua kula na kipofu nchi hii ingekuwa mbali mno.
 
Nilisema kuna siku Lissu atayasema haya maneno, atagundua hata lile shambulio lake hakuhusika.
 
Nilisema kuna siku Lissu atayasema haya maneno, atagundua hata lile shambulio lake hakuhusika.

..mtoa mada amepotosha.

..Magufuli hakuuwa ktk uchaguzi wa 2019 kwasababu yeye aliengua wagombea wote wa Chadema.

..sasa Lissu kusema hivyo haimaanishi kwamba amemsafisha Magufuli kwa utekaji,utesaji,na mauaji, katika utawala wake toka 2015 mpaka 2021.
 

Wewe unaona kufuta chaguzi ni powa tu! Tuna watu wa ajabu sana TZ Mungu tusaidie
 
" hayati Magufuli alifutafuta tu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lakini hakuuwa Mtu hata Mmoja"

Hakika Shujaa Magufuli 🌹 alisingiziwa mengi
Ndugu Yohana ebu acha upotoshaji... TL ametamka wazi kwenye context ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
 
Wewe unaona kufuta chaguzi ni powa tu! Tuna watu wa ajabu sana TZ Mungu tusaidie
Huyo mwamba kuna wakati dishi linayumba! TL kajenga hoja kwamba Magufuli aliishia tu kufutafuta chaguzi nchi nzima LAKINI huyu mama yao kafuta chaguzi na kaua watu pia!
 
Lisu anazidi kupoteana πŸ˜†πŸ˜†

Pili watu Kuuana Kwa sababu za Kisiasa hawajaanza Leo,wao Chadema wanaweza eleza nani waliwaua kina Wangwe na Mawazo?

Huwa nasema Wanasiasa uaneni tuu sinaga huruma na nyie maana hamnaga lolote la maana Kwa watu zaidi ya kutafuta fursa za upigaji tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…