LGE2024 Tundu Lissu: 2019 Hayati Magufuli hakuua Mtu hata Mmoja alifutafuta tu Uchaguzi, tulikosea kumdhania ni muuaji!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Alikuingiza mkenge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini si huyu ndo alitabiri kifo Cha magufuli au nimechanganya mafaili ?
 
Alikuingiza mkenge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini si huyu ndo alitabiri kifo Cha magufuli au nimechanganya mafaili ?
Alitabiri wapi hakuna kitu km hicho mzushi tu huyo muongo muongo
 
Alphonce Mawazo kauwawa na CCM
Ben saa nane
Azory Gwanda
Lajwabe
Akwilina

Yaan haijalishi kauwawa kwenye uchaguzi au kwenye siasa za kawaida

Mimi ni CCM, ninayepinga Mauaji

Britanicca
Safi sana tupo wengi ambao ni CCM tusiokubali upumbavu huu wa sasa πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…