Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kuwaletea maendeleo na haki Watanzania hata kabla ya Uchaguzi

Kwa kweli kila nikiwaza bila Lissu tungekuwa na hali gani hadi sasa kisiasa na kijamii naishia kuseme ASANTE MUNGU KWA KUMWACHA HAI KIUMBE HUYU ,HAKIKA ULIJUA MCHANGO WAKE NI MKUBWA KWA TAIFA LILILOKUWA LINADIDIMIA KARIBU NYANJA ZOTE
 
Na huko TUNDURU mkuu wa wilaya hiyo Julius Mtatiro ameamuru wafanyabiashara waliotozwa 30,000 kukodi eneo la biashara kila mmoja kurejeshewa fedha zao ndani ya siku 3. Lissu Mungu akubariki.
 
Nasikitika mno kuona wananchi maskini, ambao ni wengi sana... eti bado wanaishobokea CCM na kuwazodoa wapinzani!
 
Ipo haha ya kuanza kuwatambua maadui wa Uhuru na haki katika taifa letu,naamini Tanzania ni yetu sote ,bila masharti yoyote,bila ubaguzi na bili kisingizio chochote.
 
Baada ya ahadi za ajira kwa maticha sasa tunasikia na bima inakuja...tutasikia mengi...

Lissu tangulia mbele...wewe ni mteule wa Mungu....kila kauli yako ni kemeo kwa mashetani.
 
Halafu unakutana na takataka inakwambia inapenda bora upinzani ufe, wana bahati kuua ni dhambi la sivyo yangekuwa mengine.

Sadly anatafutwa na watu wa aina nyingi, kuna wasiojulikana na pia kuna moshi wanarusha mawe wakimwona! sasa sjui ataishi vp hii nchi. mapolisi kawatukana, mahakama ndo hana iman nao, nec ndo uspime ! kikaragosi wa ajab saana hii nchi
 
Absolutely true
 
Kuwanyima watu ajira na ujira bora ni adhabu ya kifo.

Je, watanzania wako tayari kuendelea kupewa adhabu ya kifo na Magufuli?
Hata kutokupandisha vyeo na kutokuongeza mishahara pia ni adhabu ya kifo kwa sababu ina imact kubwa mno kwenye retirement benefits.Wafikirie walostahili/waliostaafu kati ya 2015-2020 watafidiwa na nani?Magufuli hastahili kuwa kiongozi wa Taifa hili,haya ni makosa makubwa ambayo hayasameheki hadi mwisho wa dunia.

Wamefuta mafao ya kujitoa kwa wale waliokosa ajira kwa sababu ya mdororo wa uchumi na kuanguka kwa uwekezaji ilhali ni fedha zao.Haikosi wamefilisi mifuko ya Hifadhi ya Jamii,wamegeuza matumizi ya mifuko hii na wanajifanya wanaiunganisha kinyume na malengo ya mifuko hii.

Watanzania wenzangu,salama yetu ni kuikataa CCM na makando kando yake,vinginevyo tutalimia meno maradufu kama alivyoahidi Jiwe.Tunataka mabadiliko ya kimfumo nje CCM.
 
Hata uchumi kudorora kiasi cha kupungua maradufu kwa fursa za kujiajiri ni adhabu ya kifo.

Je watanzania wako tayari kuendelea kutumikia hii adhabu ya kifo chini ya Magufuli ?
 
Hahaha na mkiruhusu Magufuli ashinde mtakoma, uvcc ndio watakuwa waajiriwa wa serikali ya Magufuli na utasikia nani aliniombea kura?!
 
Hata hizo ajira bado Nina mashaka nazo.

Mtu mwenye 'nia'' nzuri na watanzania huwezi kutoa ajira kipindi Cha kampeni.

Serikali ya Jiwe iache kumanipulate Hawa watoto wa masikini wenzetu waliosoma ualimu.
Leo mgombea wenu yuko wapi?
 
Warning friends:

 
Hongera sana mkuu kwa kuumiza akili na kuibuka na huu ukweli ambao hata hao ccm wanaukubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…