Unadhani basi wengine wameshiba....ni uzwazwa tu akishapata uhakika wa bando la buku kwa siku tatu basi anajiona naye ana maisha mazuri. Wengine wana maisha ya hovyo kabisa.Kuna watu wanatamani upinzani ufe,ila hawa ni walioshiba na kubweteka ambao kwao maisha yanaishia kwenye matumbo yao tu!
Walimu 13000 mtakaopata ajira nitawashangaa kama nanyi mtakuwa na mawazo kama hayo kuwa upinzani ufe wakati bila upinzani imara unaotishia kushika dola,hizo ajira mngezisikia kwenye bomba!Mtu mawazo yake ni kuongeza ndege,sasa imekuwa dharura tu kutokana na kukabwa koo akaone apunguze kidogo kwa kuachia ajira!