Pre GE2025 Tundu Lissu aanza Ziara ya Kikazi Nchini Uganda, No Reform No Election kusambazwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
sijajua safari hiyo ina faida gani, na ina garama gani, na kama inagarimiwa na hizo mlizochangisha juzi, tayari zimeanza safari za nje? kwanini asiconcentrate na safari za hapa kuleta amshaamshaa?
 
CCM wataishi kwa shida sana, lazima wapeleleze Lissu ataongea nini na ni kina nani wanashiriki hilo kingamano.

Maisha ya kuchunguzana mwenzio kala nini ni magumu
 
sijajua safari hiyo ina faida gani, na ina garama gani, na kama inagarimiwa na hizo mlizochangisha juzi, tayari zimeanza safari za nje? kwanini asiconcentrate na safari za hapa kuleta amshaamshaa?
Tunachanga ili wafanye mambo muhimu kama hayo. Hatuchangu pesa za kunywea pombe
 
Nadhani ni Militant connection approach kutafuta vita vya msituni.Naona anatafuta balaa.
Au ndio mambo ya deal kuwa akisaidiwa kushinda uchanguzi Museveni atapewa kanda ya ziwa,na kweli Museveni anaitaka haswa.
Wanaposema Lissu hana tofauti na Tshombe wa Congo Leopardville naaza kuamini.

Wewe mwehu. Wahi matibabu ka la ya kuanza kutembea uchi mbele wanao.

Lisu ameenda Uganda ambako atahudhuria kikao cha vyama rafiki vinavyopigania demokrasia halisi.
 
Nadhani ni Militant connection approach kutafuta vita vya msituni.Naona anatafuta balaa.
Au ndio mambo ya deal kuwa akisaidiwa kushinda uchanguzi Museveni atapewa kanda ya ziwa,na kweli Museveni anaitaka haswa.
Wanaposema Lissu hana tofauti na Tshombe wa Congo Leopardville naaza kuamini.
Umeandika Utumbo.....na kwa hili Vyombo vya Usalama vinapaswa kukushughulikia kwa kuzua Taharuki
Uwe tayari kutoa ushahidi wa maneno yako
 
Nadhani ni Militant connection approach kutafuta vita vya msituni.Naona anatafuta balaa.
Au ndio mambo ya deal kuwa akisaidiwa kushinda uchanguzi Museveni atapewa kanda ya ziwa,na kweli Museveni anaitaka haswa.
Wanaposema Lissu hana tofauti na Tshombe wa Congo Leopardville naaza kuamini.
Umerukwa na akili ukiwa wapi?
 
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko Nchini Uganda kwa ziara ya Kikazi.

Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa

View attachment 3257593

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Hiyo sio ziara bandugu! Ingelikuwa ziara kama angelikwenda kumtembelea Kiiza Besigye mahabusu. Akatoka hapo akaenda kufanya maongezi juu ya siasa upinzani Tanzania na Uganda (bilateral talks) na Kyagulanyi kisha wakafanya Mkutano wa Hadhara wa Kisiasa yeye na Kyagulanyi. Hapo ndio nigelijua hiyo ni ziara!

Lakini kuhudhuria Mkutano SIO ZIARA BANDUGU!!!
 
Tunachanga ili wafanye mambo muhimu kama hayo. Hatuchangu pesa za kunywea pombe
mambo muhimu ni amshaamsha, watu wanataka aende kwa wananchi awafungue akili ili wakati wa kupiga kura wawe na ufahamu, huko nje anaenda kuomba misaada au nini?
 
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko Nchini Uganda kwa ziara ya Kikazi.

Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa

View attachment 3257593

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Hii! Museven karuhusu kongamano kama hilo kufanyika nchini mwake! Ngoja tuone, mana nahisi hata Museven hapendi kumuona Lisu nchini mwake mana anawezakl kuhisi ameenda kuungana na kina Bobi Wine na Besigye
 
Uganda siyo mfano mzuri wa nchi ya kufanyiwa ziara; ila imeeleweka madhumuni ya ziara ni huo mkutano.
 
ambao hauna faida yeyote, hasa ikizingatia tupo kwenye mwaka wa uchaguzi ambao alitakiwa awe anazurura mikoani huko kuamsha wananchi wapate ufahamu. yeye anaenda uganda, kwa faida ipi na kwa pesa zipi?
 
Sasa Uganda anaenda kujifunza kitu gani haswa?
 
Back
Top Bottom