Uchaguzi 2020 Tundu Lissu abadili upepo, aanza kumsifu Rais Magufuli

Nyerere alitawala 24yrs
Magufuli 4.8yrs
Hii comparison discussion tuifanye 2040😂
 
Wajurumani ndio waliopanga maeneo ya miji mikubwa yaliyopangika kama posta, upanga, nk miaka ya 1890, na baadaye waingereza waliendeleza mipango miji, leo hii miaka 60 baada ya wakoloni kuondoka hakuna tena miji inayopangwa, zaidi ya kuacha Manzese, Buguruni, nk kukua hovyo.
 
Hapana nyerere. Hakufanya maendeleo. Yoyote y . Uchumi alichofanya ni. Kuunganisha. Tz udini ukabika ukanda aliotokoneza na kudunisha ujamaa na kujitegeme . Jpm ni mchapakazi saana ila. Kila mmoja ananafasi yake
 
Angalau nimeelewa kuwa Wajerumani walitawala Tanzania kwa miaka 75.
Inaonekana mababu zetu walikuwa hawachangamani na mtawala wao licha ya kumkubali awatawale miaka yote hiyo! 75 Yaani hata sehemu ya watanzania inayoongea Kijerumani Kama lugha ya kurithi hakuna?! Tusiwe tunapuuza kujumuika kwa kisingizio chochote, tutakuwa tunakumbatia uswahili unaotufanya tushindwe kuchagua kama majirani wanavyoweza kuchagua!
 
Kwahiyo jiwe amejenga shule elfu 20 zote kwa awamu hii?
 
Hapana nyerere. Hakufanya maendeleo. Yoyote y . Uchumi alichofanya ni. Kuunganisha. Tz udini ukabika ukanda aliotokoneza na kudunisha ujamaa na kujitegeme . Jpm ni mchapakazi saana ila. Kila mmoja ananafasi yake
Sidhani kama una taarifa sahihi ya mambo aliyofanya Nyerere.
Endelea kusoma comments utajifunza kitu.
 
Nyerere alitawala 24yrs
Magufuli 4.8yrs
Hii comparison discussion tuifanye 2040😂
Vijana hamsomi post nyingi mnakimbilia kujibu.
Nimeshajibu hii hoja yako mara tatu kwenye uzi huu huu, endelea kusoma comments utapata jibu.
 
Jitahidi kusoma kama great thinker wa kweli na wewe kabla hujakimbilia kujibu Kwa kejeli...read between the lines...au unataka kila Jambo upakuliwe...sio kila response inafanana na uliyojibu..na ukiona issue inajirudia jua kuna Jambo hujalielewa Kwa akili yako ya awali.
 
Unadhani kuhudumia idadi ya watu iliyokuwepo wakati wa Mwalimu kwa maana ya kutoa elimu, matibabu, maji mishahara ya wafanyakazi nk ni sawa na idadi ya watu iliyopo sasa?

Lakini hata sasa makusanyo si yameongezeka, au watu tu ndio wameongezeka lakini mapato ni kama ya enzi ya Nyerere?
 
Tutakupataje wakati wa uteuzi bila kuweka namba yako ya simu ?
 

Hahaaa haaaa mkuu, bila kupinga maelezo yako mazuri, ila nimecheka hapo uliposema ww ni kijana mdogo. Kijana mdogo halafu maelezo yako inaonyesha miaka ya Nyerere ulikuwa shule tayari.! Mtu yeyote aliyekuwa shule enzi Nyerere akiwa rais, huyo ni mzee. Tena hiyo ni bila kujali kama alikuwa chekechea ama la.
 

Mjerumani hakutawala kwa miaka 75, nadhani miaka 75 ni jumla ya ukoloni wote Germany + British. Sio rahisi kupata mtu anayejua kuongea kijerumani maana wote wamekufa. Ila kiingereza ni wengi maana waingereza waliondoka miaka 59 iliyopita.
 
Ha haaa ..
Huyo mdau kasema kasoma enzi za Nyerere kwa hivyo mimi ni mdogo kwake.
Mimi nimesoma enzi za Mwinyi na Mkapa sema najuwa historia ya nchi yangu kupitia simulizi, vitabu, magazeti, na vingine kuviona kwa macho japo nilikuwa mdogo.
Nakumbuka siku moja mimi na classmate wengine tuligombana na Headmaster wetu wa O-level alitubeba kwenye gari yake tulikuwa tunaenda airport kwa kazi flani, tuakaanza kumpondea Nyerere alitupa info muhimu sana yule muumini wa kazi za Nyerere.
Alitoka kijijini huko kwa akina Lissu na kupanda ndege mara ya kwanza akiwa mwanafunzi wa UDSM kwa gharama ya serikali akitokea Mwanza.

Nimemfuatilia sana Nyerere kupitia media mbali mbali kama tovuti ya Taasisi ya kumbukumbu yake, kwenye vitabu, youtube na midahalo.
Nina vitabu kadhaa vya Nyerere kuanzia soft copy hadi Hard Copy.
Nilimfuatilia sana Nyerere nikiwa chuo kikuu.
 
Wewe ukiwa GT hapa JF mimi najitoa uanachama wa JF.
Acheni mizaha na u-GT!
 
Muda utaobgea
 
Wewe ukiwa GT hapa JF mimi najitoa uanachama wa JF.
Acheni mizaha na u-GT!
The fact kwamba umetoa comment kama hiyo inaeleza vizuri jinsi ulivyo na ninaomba niheshimu kwamba tunaishi katika jamii ambayo ni diverse na hatuwezi wote kuwa Sawa.
 
The fact kwamba umetoa comment kama hiyo inaeleza vizuri jinsi ulivyo na ninaomba niheshimu kwamba tunaishi katika jamii ambayo ni diverse na hatuwezi wote kuwa Sawa.
Mimi siyo GT hilo halina ubishi, lakini kusema wewe ni GT hilo lina ubishi mkubwa mno.
Lazima ulitetee hilo dai lako kwa matendo na hoja nzito sana, na ufute kabisa hoja ulizo niuliza kuhusu Nyerere na ile uliyo zungumzia kuhusu u-GT.
Sababu they are very contrary to what a GT should be, GT must be good at finding facts about famous leaders or any public figures such as their former presidents.
 
Tangu asubuhi hatujapata update aliko Tundu Lissu, mara ya mwisho alikuwa Tanga mjini, kama kawaida ya watanga wana msemo wao waja "leo warudi leo" nilitegemea kumwona akiwa ibadani hapo Tanga au maendeo mengine au akiwa njiani kuelekea sehemu ingine, mwenye taarifa aliko Lissu tunaomba atujuze,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…