Uchaguzi 2020 Tundu Lissu abadili upepo, aanza kumsifu Rais Magufuli

The fact kwamba umetoa comment kama hiyo inaeleza vizuri jinsi ulivyo na ninaomba niheshimu kwamba tunaishi katika jamii ambayo ni diverse na hatuwezi wote kuwa Sawa.
I consider myself as a normal guy though JF administration has granted me to post my comments in a closed and exclusive 'JF Great Thinkers' forum.
 
Mtoa mada mwaka 1945 ulitaka ziwepo shule 10 pale Tanga wasome kima na nyani?.

Maendeleo yanasababishwa naa ukuaji wa watu.

👇
Unapaswa ujitambue kile kipindi cha kudanganya wanakijiji hakipo kwa sasa.
 
You are misguiding us. He said that as a mockery. "Hata wakoloni walijenga reli na barabara". It is a mockery and not a praise. Hotuba yake yote tunayo You-tube. Unapotosha makusudi au hujaielewa. Pole sana.

how can anyone make a mockery out of core issues of the national development? Nyie ambao hamjielewi mnaotunza hotuba zake zote. Je kaacha kutumia upotoshaji wa corona aliokuwa anafanya kuwafurahisha wafadhili wake? Amejirekebisha kule kuacha/kusahau kuambatanisha upotoshaji wa corona na yeye kuvaa barakoa. It was a huge technical error.
 

..umepotosha kuhusu Edwin Mtei.

..kuna wakati huyu mzee alikuwa mwanachama wa JF na alijibu maswali na kutoa maoni humu ndani.

..Edwin Mtei alifanya kazi BOT, East African Community, Wizara ya Fedha, IMF, na mwisho Tume ya kurekebisha ukusanyaji wa kodi na Ushuru.

..Mamlaka ya Mapato nchini / TRA iliundwa kutokana na mapendekezo ya Tume iliyoundwa na Raisi Mwinyi na kupewa jina "Tume ya Edwin Mtei."

..pia umepotosha kwamba Amir Habib Jamal alikuwa raia wa Canada. Hili suala lake lilielezewa vizuri sana ktk moja ya mabandiko hapa JF.
 
Mbona nikitazama graphs au data za uchumi sioni cha ajabu kilichofanywa na Magufuli ? Au vipimo vyetu ni majengo na mareli pekee ? Mie sio mtu wa economics, lakini nikisoma hii table hapa . Sioni cha ajabu kuanzia 2016, naona number zote zilishawahi kupatikana miaka ya nyuma kabla yake tulishaona mambo mazuri sana.
 

Attachments

  • Screenshot 2020-08-17 at 07.05.43.png
    14.6 KB · Views: 1
nyerere ameiongoza tz miaka mingapi??? inawezekana hatuelewi hata tunachojadili sasa maadam ni magufuli katajwa tunakurupuka tu.
 
How about...I withdraw my comment and save you trouble... Thanks.
 
Komaa kupiga makelele mpaka utazeeka. Maisha hayako hivyo. Utumishi utaupata baada ya kubeba zege.
Jishushe ili uinuliwe. Acha kujipimia vipimo ambavyo huna.
Just kubeba zege makes you valuable.
Mchague LISU shida za nini
 
Lissu ni mwanasheria, anafaa kuiongoza nchi kwasababu nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba na Sheria. Na katiba ndiyo Sheria Mama.
 
Chezea Magu wenye, watanyooka tu! Huyo TL akajenge kwanza na kufanyiwa ukarabati nyumba alimozaliwa kijijini kwake kabla hata kumfikilia kumpa utendaji was mtaa😂🤣😂!
 
Lissu ni mwanasheria, anafaa kuiongoza nchi kwasababu nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba na Sheria. Na katiba ndiyo Sheria Mama.
Hizi nchi za kiafrica bado zina safari ndefu mno kufikia hatua ya kuheshimu katiba zao pamoja na utawala wa sheria.

Mtu akishakuwa Rais Africa basi ni Mungu mtu...eti hata ukimtaja jina tu bila sababu unafungwa..

Yaani kama ile amri ya Nabii Mussa kwetu kwamba usilitaje jina .... inatumika hapa Africa...
 
Akamjengee nyumba kwanza babake kule kijijini, anazurura ulaya huku wazazi wake wakiteseka kwa ufukara
 
Akamjengee nyumba kwanza babake kule kijijini, anazurura ulaya huku wazazi wake wakiteseka kwa ufukara
Babako unajenga uwanja wa ndege kwao kwa hela ya wizi...atafungwa...

Kama hela haijapitishwa na Bunge huo ni wizi tu tena wa kuamninika.
 
You are misguiding us. He said that as a mockery. "Hata wakoloni walijenga reli na barabara". It is a mockery and not a praise. Hotuba yake yote tunayo You-tube. Unapotosha makusudi au hujaielewa. Pole sana.
If it is or it was a mockery utajua wewe atajua yeye na watajua wale aliokuwa akiwa address. OK sasa anataka nchi isijengwe kwa kuwa Wabelgiji na Waingereza na Wajerumani walijenga hiyo miundo mbinu 100 YEARS AGO!? Sera gani hizi?
 
Akamjengee nyumba kwanza babake kule kijijini, anazurura ulaya huku wazazi wake wakiteseka kwa ufukara
Wewe pamoja na kuwa Lumumba buku Saba kwa mika mingi je ushamjengea babako kibanda?
 
Wewe pamoja na kuwa Lumumba buku Saba kwa mika mingi je ushamjengea babako kibanda?
Mie baba ndio alinijengea sitoki familia fukara, yeye kule kijijini kwao mafukara na anazidi kuwafukarisha anawambia atawagawia chakula Cha bure Kama Nyerere, ujinga mtupu, ile meli MV DEZZO haipo Tena, awaambie walime
 
Mie baba ndio alijijengea sitoki familia fukara, yeye kule kijijini kwao mafukara na anazidi kuwafukarisha anawambia atawagawia chakula Cha bure Kama Nyerere, ujinga mtupu, ile meli MV DEZZO haipo Tena, awaambie walime
Kanye ulale bata we, ili kesho uamke usubiri buku 7 toka kwa babako anayekuweka mjini...
 
Kanye ulale bata we, ili kesho uamke usubiri buku 7 toka kwa babako anayekuweka mjini...
Akili yako iko kwenye makalio, wekeni pumba zake tuzichambue
 
Mimi mbona naona madongo tu hapo?anyway Lissu yanaongea vitu vikubwa na anaviongea at his level so Magu na layman wenzake inakuwa ngumu kumuelewa
Magu anafanya mambo yeye ni kupinga tu wakati hata ofisi ya chama chake huko mtaa wa ufipa kama mbavu za mbwa tu. Kuongoza ni kuonyesha njia lakini kwa CHADEMA kuongoza ni kupinga pinga hovyo bila mantiki! Anyawy Tundu Lissu ana frustration/depression (Sonona) hivyo ngoja aendelee kubweka ili aondoe machungu ya moyoni hatimaye akili imkae sawa atakapoona kura hazitoshi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…