Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Ile tarehe waliosema atarudi Tz bado haijafika??? Ila nasikia anakuja mdogo mdogo yupo Kenya
 
Aisee sikujua kuwa kuchukua fomu ni tukio la kishujaa.??

Any ways I hope hiyo fomu imejazwa vyema sio kama zile za Uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Aisee sikujua kuwa kuchukua fomu ni tukio la kishujaa.??

Any ways I hope hiyo fomu imejazwa vyema sio kama zile za Uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kichwa chako chenyewe stroke,wewe pambana na mambo madogo madogo haya mambo makubwa waachie wenye akili timamu.
 
M/MUNGU ILINDE CHADEMA NA VIONGOZI WAKE ✌🏾✌🏾✌🏾πŸ’ͺ🏾πŸ’ͺ🏾πŸ’ͺ🏾
 
Tundu Lisu na DJ si ndio walio nunuliwa na maMvi kwa vipande vya fedha na yule aliyehoji ujio wa maMvi ali furushwa kwenye chama. Leo hii Nyumbu wana kushangilia wanaona wanapiga hatua za kisiasa. Kwa hakika aliye waita nyumbu hakukosea hata kidogo.
Afadhali huyo ndiye atakaye weza kulambana na hujuma za jiwe
 
Huyu Tundu bana kumbe alitumiwa nauli kuja Kenya kujaza fomu?khaa
 

CDM WATAFAKARI, WAAMUE, WASIMLAUMU YEYOTE KWA WATAKACHOAMUA.

Hali yao wanaijua CDM; Viongozi waliowafikisha hapo walipo wanawafahamu.
Watafakari sana, waamue. Wakiona wanawafaa wawachague; wakiboronga wasimlaumu mtu, wajilaumu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…