Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Halafu sasa kama hamjui kuna jembe la ukweli litakuwa katibu mkuu wa chama.
 
Jiwe akitapika tu wanamlisha ndimu papo hapo!
 
Kwa lissu Ni sahihi, katibu Mkuu wampe yule Wa Moro marcusi atawasaidia sana.
 
Chadema na Mbowe ni wasanii sana

Eti Mbowe kakubali maombi ya vijana nchi nzima ya kugombea tena uenyekiti

Yaan Prof. Safari aliyemkuta Mbowe kwenye uenyekiti kaomba kupumzika ila Mbowe hajaomba kupumzika
 
Hayo ni maamuzi binafsi kupumzika.Unataka hata kupora watu hiyo demokrasia
 
Lisu kama mwanaume kweli asimame na aseme tena kuwa nchi hii kuna 'dictator uchwara'..

Thubutu! Anaingia kwa kujifichaficha. Amekuwa mdogo kama piriton.
 
Lissu ungechukua Uenyekiti. Inanikumbusha Chacha Wangwe alipotaka kugombea Uenyekiti. LISSU siku ukichukua form za Uenyekiti ndo utamjua Mbowe ni nani.
Propaganda hizi wajanja walishazipuuza siku nyingi
 
Lissu ungechukua Uenyekiti. Inanikumbusha Chacha Wangwe alipotaka kugombea Uenyekiti. LISSU siku ukichukua form za Uenyekiti ndo utamjua Mbowe ni nani.

Chacha Wangwe (RIP) = Tundu Lisu?

Kazi kweli kweli na Serikali ilikuwepo, Sasa tutaona kama ya kale yanaweza kujirudia.
 
Back
Top Bottom