Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Tabia za nchi zimetulea na sisi tumekua nazo[emoji23]
lisu anatafuta popoularity ya wafia dini kwani Gaza kitu gani je mauaji ya wakongo,wasudan na somalia kwanini halaani hata Nigeria hayaoni..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.
..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.