Tundu Lissu adai Mwalimu Nyerere angelaani mauaji ya Gaza, tofauti na ukimya wa viongozi wa Afrika wa miaka hii

Tabia za nchi zimetulea na sisi tumekua nazo[emoji23]
..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.

..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.

lisu anatafuta popoularity ya wafia dini kwani Gaza kitu gani je mauaji ya wakongo,wasudan na somalia kwanini halaani hata Nigeria hayaoni
 
..tunatakiwa tushinikize amani irudi DRC.

..kwa malengo na mtizamo wa muda mrefu, Rwanda hawana faida kwetu kuizidi DRC.
Haiwezekani kuingilia mambo ya ndani ya Nchi zingine !
Ni sheria za Kimataifa ! Ila sheria hizo haziwahusu wababe wa Dunia 😳 !
 
..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.

..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.

Hayo mengine ajiwekee moyoni, maana ukiligusa "Taifa Lile" na wewe unajua kabisa bila ya West huwezi kushinda kwa hawa wakoloni weusi CCM, linda mdomo. Wataanza kusema upo antisemitic. Haya ni maoni yangu tu.
 
H
Kuna watu wanampuuza Lissu kwa sababu wanamjua juu juu tu. Binafsi nilipata ABC za Gaza kupitia haya mahojiano
apa Jf ukitaka mada iharibike hata kama ina ukweli kiasi gani iwe tu inahusu hizi Dini mbili Islam na Christian
Basi hiyo mada itaishia watu kutukanana 🤣🤣🤣 !

Sijui tuwaiteje hawa watu !
Religious radicals ???! 🤣😂😂
Pole yao Kwakweli 😱🙄 !

Anyway Nje ya mada :- Kwanini ulinzi kamili wa uwanja wa Mkapa haukuwekwa siku ya ijiumaa ambapo ilikuwa inajulikana Simba watakwenda kufanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya mechi ???!

Wallace Karia na meneja wa Uwanja wa Estadio de Che Nkapa watulipe pesa zetu tuliosafiri kutoka mikoani kuja kuangalia mechi !

Kama Ulinzi ungekuwepo unaotakiwa kusingetokea kilichotokea !
Au nasema uongo ???!!
 
Hapo nje ya mada una hoja kubwa sana. Kuna mechi ya Simba na Yanga 2021. Mimi nilikuwa hapo Temeke usiku. Nikakatiza eneo la karibu na uwanja saa 4 usiku. Nilikutana na ulinzi mkubwa sana na hali ya uwanja ilikuwa tulivu sana. Nilikuna wazee walionekana kama walozi wakiwa wanafukuzwa na walinzi.
Yaliyotokea ijumaa nilijiuliza hilo swali, hakukuwa na ulinzi? Wawakipe pesa zenu
 
Kwakweli wametukosea sana !
 
lisu anatafuta popoularity ya wafia dini kwani Gaza kitu gani je mauaji ya wakongo,wasudan na somalia kwanini halaani hata Nigeria hayaoni
Kabisa Lissu namkubali ila kwenye hili kauli yake imekaa kisiasa zaidi na mitizamo yake hasi kwa Mwalimu Nyerere.Kinachowafanya wanasiasa wa Afrika kulaani migogoro iliyo nje ya mipaka yao huku wakisita kuuzungumzia unyama unaofanyika ndani ya Afrika ninini kama sio kutafuta popularity
 
Back
Top Bottom