Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Nimemsikiliza Lisu hapo mwishoni akiongea upi ungekuwa msimamo wa Nyerere endapo angekuwa hai leo na ikatokea vita ya Israel Vs Hamas kule Gaza na wingi wa watu waliouawa. Kwa mujibu wa Lisu anasema Nyerere angelichagua upande wa kuwatetea wapalestina. Lakini Je yeye mwenyewe Lisu yuko upande gani?