Nimemsikiliza Lisu hapo mwishoni akiongea upi ungekuwa msimamo wa Nyerere endapo angekuwa hai leo na ikatokea vita ya Israel Vs Hamas kule Gaza na wingi wa watu waliouawa. Kwa mujibu wa Lisu anasema Nyerere angelichagua upande wa kuwatetea wapalestina. Lakini Je yeye mwenyewe Lisu yuko upande gani?
Video haichezi
UDSM ni Tanzania sio Uingereza kwa nini akaongee kingereza kwenye nchi ya kiswahiliMwambie na yeye chura kiziwi akaongee na wana UDSM kwa kingereza bila kusoma uijionee
Nimesikiliza dk zote 30 na sekunde 10. Nachoweza kusema ni kuwa kama hawa wanafunzi wangekuwa wa UDSM au chuo chochote cha Tanzania lazima wangepewa suspension na kisha kupotezwa mazima.
Museven pamoja na ufedhuli wake angaau bado anaacha watu watoe mawazo yao kwenye vyuo vikuu
UDSM ni Tanzania sio Uingereza kwa nini akaongee kingereza kwenye nchi ya kiswahili
Wewe kichwani hazimo
HeheheHapo ingekuwa UDSM (japo Lissu hawezi kupewa nafasi hiyo) hapo kungekuwa na mapambio ya mama anaupiga mwingi tu.
God Bless LissuWatanzania, tuseme tu ule ukweli.
LISSU ni hazina kubwa sana kwa Taifa letu,bila kujali utofauti wetu wa kisiasa
Na zaidi, jamaa amesoma akaelewa kwellikweli. Hana elimu ya kubabaisha.
MUNGU ambariki sana Lissu.
They were shocked yesterday on the conversation with Learned LawyersMost ugandans deify Nyerere, and they are even planning to sanctify him
Well yeye mwenyewe hajasema, maybe jibu atabaki nalo yeyeNimemsikiliza Lisu hapo mwishoni akiongea upi ungekuwa msimamo wa Nyerere endapo angekuwa hai leo na ikatokea vita ya Israel Vs Hamas kule Gaza na wingi wa watu waliouawa. Kwa mujibu wa Lisu anasema Nyerere angelichagua upande wa kuwatetea wapalestina. Lakini Je yeye mwenyewe Lisu yuko upande gani?
Jana nimemaliza Video za Lissu IFor the First time Leo nimetumia MB zangu kucheku video iliyowekwa hapa JF kiukweli hua sifungui kabisa video zinazowekwa humu kama Namna ya kutoa taarfa hua Sina huo Mda.
Niseme tu sijajutia kabisa MBs zangu zimeenda kiuhalali kabisa..
Vijana wa Uganda wanatema Ndoano tu kuelezea Hali ya kisiasa Bila uoga na Bila ingekua Bongo vijana wangeanza na Samia Mi5 Tena wakat shida ni lukuki Nchini.