Tundu Lissu Aelezea Madhara ya Kukosoa Serikali ya Magufuli: Risasi 16 na Jaribio la Mauaji

Tundu Lissu Aelezea Madhara ya Kukosoa Serikali ya Magufuli: Risasi 16 na Jaribio la Mauaji

Lissu anaimba kitu hicho hicho ,hata Wimbo ukirudiwa sana huchuja, naongana naye kwenye swala la bandari kuhusu huyo mwanasesere ,
Sikiliza hotuba yote, kuna mengi amezungumza yanayogusa maslahi ya Wananchi na Nchi kwa ujumla, (Pigia mstari neno Wananchi tafadhari).
 
Sikiliza hotuba yote, kuna mengi amezungumza yanayogusa msalahi ya Wananchi na Nchi kwa ujumla
Yaan ndio laikini hili la kuimba kila siku sijui amepigwa ris ,na amna hatua aliyochukua mpaka leo ,inachisha kwa kweli ,mpaka unatabiri hutuba zake maana kwa 90 anarudia rudi mambo yale ,yale twende kwenye katibs mfumuko wa bei wzi na uuzawaji wa bandari ndo iww hoja ya msingi
 
Sikiliza hotuba yote, kuna mengi amezungumza yanayogusa msalahi ya Wananchi na Nchi kwa ujumla, (Pigia mstari neno Wananchi tafadhari).
Yes risasi ni mfano rejea bora kabisa, kuwa ameanza kutetea mikataba siku mingi lkn walimlipa risasi
 
Lissu akizungumzia uminywaji haki za binadamu awamu iliyopita, suala la kutaja risasi alizopigwa halikwepeki, huu ni ukweli uliokuwepo na bado madhara yake anaishi nayo mwilini mwake kila sekunde na dakika ya kila siku, hivyo sina haki ya kumfunga mdomo kwenye hilo.

Lakini Lissu huyo huyo akija kuzungumzia suala la uuzwaji/ kutolewa sadaka rasilimali za taifa letu kwa wageni, kisha akamtumia Magufuli yule aliyemponda mwanzo, lakini sasa kwa kumsifia, kama kiongozi bora aliyepigania na kuzilinda rasilimali za taifa letu, hapa pia Lissu yupo sahihi kabisa.

Anaonesha vile alivyo na uwezo wa kuzuia hasira na chuki kutawala fikra zake, huyu Lissu bado yuko vizuri sana kichwani, anajua kuhukumu kwa haki bila kuruhusu uwepo wa makovu ya risasi mwilini mwake, uingilie maamuzi ya fikra zake, kwa hili anastahili pongezi.
 
Lissu anaimba kitu hicho hicho ,hata Wimbo ukirudiwa sana huchuja, naongana naye kwenye swala la bandari kuhusu huyo mwanasesere ,
CCM inaimba wimbo huo huo wa kuuza rasilimali za Taifa na kuacha nchi kwenye shida, haya, nani Bora?
 
MTU AKISHAKOSA SHUKURANI HUWA NAMUONA NI MTU WA HOVYO KABISA,NAMUONA KAMA "HOPELESS BARKING DOG!"
mad-dog-killer-dog.gif
 
Lissu anaimba kitu hicho hicho ,hata Wimbo ukirudiwa sana huchuja, naongana naye kwenye swala la bandari kuhusu huyo mwanasesere ,
Ukipigwa zile risasi na ukaishi utaadithia kila sehemu kila wakati. Linaweza kuwa automatic tu unajikuta unaongea.
 
Back
Top Bottom