Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Part 74
Mhe. Lissu: Je unafahamu December 2020 mshitakiwa alipata tuzo inayoitwa BushThetcher Award for freedom kwasababau ya kupigania haki za binadamu?
George: Sifahamu
Mhe. Lissu : Je unajua mwaka jana TLS walimtunukia tuzo kwa utumishi wake ndani ya Chama cha Mawakili Tanganyika?
George: Sifahamu.
Mhe. Lissu : Wewe unawafahamu nini kuhusu mtu huyu?
George: Sioni umuhimu wako wowote naona mtangulizi wako kwenye uwenyekiti wa CHADEMA alikuwa bora kuliko wewe.
Mhe. Lissu Anasema hiyo tunaiiita a kiss of death nendeni kamwambieni Mwenyekiti Mbowe kuwa mapolisi wa Tanzania wamempongeza.
Jaji anasema sasa mtuhumiwa mbona kama maswali ya hizi sifa zako yanakuwa mengi sana?
Mhe. Lissu anawajibu Waheshimiwa kuweni wavumilivu mimi sijachagua hii kesi vumilieni tu bado naendelea na yapo mengi sana.Watu :
Mhe. Lissu : Tena nikimaliza kuhusu hizi sifa zangu nitaanza juu ya mambo ambayo CCM wamekuwa wakinisingizia kila siku. Kesi za michongo zote ambazo wamekuwa wakinisingizia.Mhe. Lissu :
Je unafahamu pia kuwa mshitakiwa toka mwaka 1997 alikuwa anapiganaia haki za binadamu maeneo kama Rufiji, Haki za wamasai kule Ngorongoro, Longido, kupigania haki za madini Geita, Tarime kwa miaka karibu 28? George: S
ina ufahamu huo wa mambo hayo.Mhe. Lissu: Sasa waeleze waheshimiwa Majaji kwenye kesi za kumbambikizia huyu mshitakiwa kesi za michongo. Je ni kweli Jeshi la Polisi toka enzi za Mkapa mlinifungulia kesi za uongo?
George: Sisi hatufungui kesi za Uongo.
Mhe. Lissu : Rais Samia alikuja chuo cha taaluma ya Polisi mwaka 2021?
George: Ni kweli alikuja nakumbuka.
Mhe. Lissu : Ngoja sasa nikutafutie kitu hapa maana kinamuhusu Mama. Sasa waeleze majaji tar. 18/05/2021 anawatajia link ya YouTube kwamba ipo hotuba humo ya Rais Samia alipoenda kuzungumza na mapolisi.
Nimezungumza na TAKUKURU wamefuta kesi 147 Polisi Jitazameni, mkisikia hotuba Rais anasema Polisi mmekithiri kubambikizia watu kesi? George:
Naikumbuka hiyo hotuba ya Rais.
Mhe. Lissu : Sasa ni kweli au si kweli tar. 24/12/2002 jeshi la Polisi Dar es salaam walinikamata na kuniweka mahabusu Central na kesho yake wakanifungulia mashitaka ya Uchochezi?
George: Huo mwaka sikuwa Polisi sifahamu.
Mhe. Lissu : Je unafahamu kesi hiyo ikitokana na harakati za kutetea haki za wachimbaji wadogo wa Bulyanhulu?
George: Hilo sifahamu.
Mhe. Lissu: Na unajua aliyesema nikamatwe ni DCI Adadi Rajabu?
George: Hilo sifahamu.
Mhe. Lissu: Je unajua kesi hiyo ilikaa miaka 6 na polisi hawajawahi kuleta shahidi hata mmmoja?
George: Sifahamu.
Mhe. Lissu : Na wambie majaji mwaka 2008 kesi hiyo ilifutwa pale Kisutu?
George: Hilo sifahamu.
Mhe. Lissu : Mwaka 2012 mwezi January nilikamatwa na Polisi Arusha Mjini kushiriki maandamano baada ya polisi kuua watu katika maandamano mengine yaliyofanyika Arusha mjini na baadae nilishitakiwa kwa kosa la kukusanyika bila kibali?
Mhe. Lissu : Sifahamu hiloAnamtajia hapa makesi ambayo Lissu amewahi kukamatwa na Mapolisi na hajawahi kukutwa na hatia yoyote.
Mhe. Lissu : Je unafahamu mwaka 2016 nilikamatwa na kufunguliwa uchochezi kisutu?
George: Ni sahihi.
Mhe. Lissu : Je unafahamu siku nne baada ya kushitakiwa Kisutu nilikamatwa Ikungi na kuletwa tena Dar es salaam na kuja kushitakiwa na kesi nyingine ya Uchochezi kwamba Dictator uchwara huyu anapaswa kukabiliwa na kila mwenye akili?
George: Hilo sifahamu pia
Mhe. Lissu : Je unafahamu baadae mwaka 2016 nilishitakiwa kesi ya Uchochezi pale Kisutu nilikamatiwa kwenye geti Bungeni kuja kushitakiwa Dar es salaam kwa kumsema Magufuli?
George: Sifahamu hilo pia.
Mhe. Lissu: Je unafahamu pia Mwaka huo huo 2016 nilikamtwa mara ya nne kwa kumkosoa Magufuli?
George: Hilo sifahamu.
Mhe. Lissu : Je unafahamu baada ya hapo Nilikamatwa Dodoma kwa kushitakiwa Dar es salaam kwa kesi ya tano ya Uchochezi kisutu?
George: Sifahamu pia.
Part 75
Mhe. Lissu : Je unafahamu siku chache kabla sijachaguliwa kuwa Rais wa TLS nilikamatwa Dodoma na kusafirishwa kuja Dar es salaam siku nne na nilipotoka nikaenda Arusha kuchaguliwa kuwa Rais wa TLS?
George: Sifahamu hilo
Mhe. Lissu : Unajua nilipotangaza ndege ya Bombadier ilipokamatwa na walinikamata walisema wanaenda kunipima mkojo ili wanisingizie madawa?
George:Hilo sifahamu.
Mhe. Lissu: Katika kipindi cha MAGUFULI nilikamatwa mara nane na kushitakiwa mara 6 hapo Kisutu?
George: Sifahamu ila nashangaa kwanini ni wewe tu?
Mhe. Lissu: hujui Mbowe alishtakiwa na nini? Hawa akina Heche hujui kesi walizowahi kuwa nazo?
George: Aah! Nimekumbuka, nafahamu basi.
Mhe. Lissu : Tar. 11/08/2024 unafahamu kuwa nilikamatwa jijini Mbeya nikiwa nimeenda Mbeya kusheherekea siku ya Vijana?
George: Nakumbuka mliletwa hadi Central na tukawapeleka majumbani.
Mhe. Lissu: acha kiherehere sijakuuliza hayo ya nyumbani wewe George.
Mhe. Lissu: Unafahamu nilikamatwa na kupelekwa Vwawa na kesho yake nililetwa kwenye kituo cha Polisi Central Dar?
Soma Pia: Ushaidi wa Afande George katika kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri
George: Mimi niliona umekuja Central Dar es salaam.
Mhe. Lissu : Na unafahamu nilivyofika Central hamkunishitaki kwa lolote mliniambia nirudi nyumbani tu?
George: Hiyo sahihi.
Mhe. Lissu : Mwaka jana umesema nilikamatwa Magomeni?
George:Ndio nimesema hivyo.
Mhe. Lissu : Wewe ulikuwa Depeuty ZCO wakati nakamatwa hapo Magomeni?
George: Ndio nilikuwa na cheo hicho.
Mhe. Lissu : Nikisema mimi sikuwahi kukamatwa na Polisi magomeni?
George: Sijui ulikamatiwa magomeni.
Mhe. Lissu: Nikikwambia sijawahi kupelekwa Oysterbay toka nizaliwe utasema nasema uongo?
George: Ndio utakuwa unasema uongo.
Mhe. Lissu : Sasa mimi nakwambia nilikamatwa nyumbani Tegeta na kupelekwa Mbweni kituo cha polisi ukiwa chini ya kiapo unadhani unafaa kuwa Askari wa Jeshi la Polisi?
George: Ndio ninafaa hivyo hivyo.
Mhe. Lissu: Shahidi nikikwambia nimekwambia tar. 09/04/2025 nimekamatwa ili tu niwe Gerezani mpaka uchaguzi upite na ili huyu UTU NA KAZI asiwe na Mpinzani wa maana?
George: Sio kweli
Mhe. Lissu : Je baada ya mimi kukamatwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhani Kailima walitangaza Chadema hairuhusiwi kuweka mgombea?
George: Hilo sikumbuki.
Mhe. Lissu : Na ni kweli au si kweli ndani ya mwezi huo huo mmoja niliposhitakiwa kwa uhaini msajili wa Vyama vya siasa Francis Mutungi amesimamisha Ruzuku kwa Chama cha Chadema ni kweli au sio kweli?
George: Sikumbuki
Mhe. Lissu : Msajili wa Vyama vya siasa, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, IGP na DCI, DPP hawa wote ni wateule wa Rais?
George: Hawa wote ni kweli.
Mhe. Lissu : Ndani ya mwezi huo huo mmoja Jaji wa Mahakama hii akaamuru shughuli za siasa zote za Chadema zisimame?
George: Ni Kweli.
Mhe. Lissu : Na huyo Jaji alikuwa mjumbe wa tume Zanzibar na ni mteule wa Rais?
George: Ni kweli.
Mhe. Lissu : Sasa tuambie huyu Mwenyekiti wa Chadema amefunguliwa mashitaka ya uhaini na wateule wa Rais?
George: Sio kweli.
Mhe. Jaji: Waheshimiwa majaji nimemaliza na shahidi huyu.
Jaji anasema kwasababu ya muda nahairisha kesi hadi kesho saa tatu asubuhi ambapo tutaendelea na Re Examination halafu baada ya hapo hakikisheni Jamhuri mnakuja na shahidi mwingine ili tutakapomaliza Re Examination tuendelee na usikilizwaji wa shauri hili.
So Wapendwa tukutane kesho