Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

Unajua hata Dunia inaendaje wewe?
 
Watanzania Sio wajinga tena.
Sijui wewe unaishi Dunia ipi
Jibuni Hoja za Lissu acheni kujitetea Kwa kutaja chuki Kuna chuki gani hapo?
Watu wapumbavu wanajificha Kwenye uongo. Werevu wanaweka Mambo wazi yatatuliwe Kwa uwazi
 
Sijaona kauli ya kibaguzi toka kwa Lissu.
Tatizo la MaCCM hamtaki kuambiwa ukweli.
Mnaona uongo ndio slogan yenu.
Weka na namba ya simu mleta mada.
 
Nilikuwa nadhani wewe jamaa ni mtu fulani mwenye akili ya kuchambua mambo. Naomba unisamehe aisee. Sasa kwanini usituchambulie huo ujinga wa Lissu kwa hoja badala ya kumshambulia binafsi? Ila vijana wa Chama Tawala mnatuangusha sana.
 
Naunga mkono hoja zako.
 
Unaandikaga marefu halafu yaleyale
 
Watanzania Sio wajinga tena.
Sijui wewe unaishi Dunia ipi
Jibuni Hoja za Lissu acheni kujitetea Kwa kutaja chuki Kuna chuki gani hapo?
Watu wapumbavu wanajificha Kwenye uongo. Werevu wanaweka Mambo wazi yatatuliwe Kwa uwazi
Hoja za Lissu zimejaa ubaguzi na chuki tupu.
 
Sijaona kauli ya kibaguzi toka kwa Lissu.
Tatizo la MaCCM hamtaki kuambiwa ukweli.
Mnaona uongo ndio slogan yenu.
Weka na namba ya simu mleta mada.
Tofautisha ukweli na uzushi. Anayoongea Lissu ni uzushi mtupu.
 
Muungano tunaupenda.
LISU akasambaze chuki zake ubelgiji huku hatumtaki
 
Jibuni hoja za Lissu! Watanzania wengi wakiwemo na Chama pendwa wanamuunga mkono Lissu.
 
Atengwe na aogopwe kama ukoma!
 
Tuungane kupinga kauli za kibaguzi na chuki zinazopandikizwa na kutolewa na Lissu kwa uchu na uroho wake wa madaraka.
watu weusi sijui nan kawaloga , nyinyi ndo lile kundi serikali inawalipa ili kupindisha madai ya watu huku mitandaoni , siez dharau utanganyika wangu kisa hongo ya buku 2 , muda ukifika utafuta post zenu hata wapigania uhuru waliitwa kila aina ya majina na waafrika wenzao ambao walikuwa wanatumikia matumbo yao kwa wakoloni , wewe ni mmoja wa wale wachumia tumbo

HOJA ZA LISSU ZIPO WAZI , JIBUNI HOJA ZAKE NA SIO KUMSHAMBULIA YEYE , KAMA HAMUEZ JIBU HOJA ZAKE INAMAANA NI ZA KWEL
 
Ungesubiri mada na hoja zenye kulingana na akili yako. Nikiweka nitakwambia maana hii ipo juu ya uwezo wako.
Mtu ambae hujuu kuwa rais ni mzanzibar , wewe akili yako ni kisoda , ukute ni mtanganyika ila unaua hatima ya uzao wako kisa kofia ya ccmu

Sijuu watu weusi tumelogwa na nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…