Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

Hana hoja zaidi ya kujipofusha akili yake.
kama hana hoja kipi kinakuumiza mpk muanzise mashambuliz ? Ccmu ni jamii ya watu wajinga sana , nashukuru nlistuka mapema maana wapo watu wanazeeka na ujinga wa ccmu
 
Ninyi ni aina ya watu ambao bado mna mawazo ya kikoloni vichwani mwenu licha ya kuwa ukoloni ulishafutwa. Jina Tanzania ni fahari yetu,ni akili zetu na utashi wetu na siyo jina la kurithishwa na wakoloni. Kwanini mnataka kuturudisha kwenye fikira za kikoloni?
 
kama hana hoja kipi kinakuumiza mpk muanzise mashambuliz ? Ccmu ni jamii ya watu wajinga sana , nashukuru nlistuka mapema maana wapo watu wanazeeka na ujinga wa ccmu
Tunashambulia maneno yake yanayohamasisha na kuchochea ubaguzi na chuki kwa watu.
 
Sema hatopata uungwaji mkono toka CCM wasiojitambua na sio watanzania, unajipa cheo cha kunisemea. Kingine punguza kuandika migazeti, ni dalili kuwa uwezo wako wa akili mdogo.
 
Atengwe na aogopwe kama ukoma!
makada wa ccmu ni wengi , endeleeni kujifanya hamuoni muda ukifika mtakunywa kikombe kimoja na kaburi la Lissu , wkt mtakuwa mmechelewa sana
 
Wakati wa zile kauli za "Tuna raisi mshamba kuwahi kutokea"....."Magufuli ni Dikteta uchwara"...."Kama imewauma mkazikwe nae" Hawa wapinzani walikuwa heroes kwenu ila sahizi imeanza kula kwenu mmewageuka tena😂
 
Tunashambulia maneno yake yanayohamasisha na kuchochea ubaguzi na chuki kwa watu.
mnashambulia maneno ya ubaguz au mnatetea ubaguz wa Zanzibar kwa watanganyika ?kwamba mtanganyika hana haki Zenji hii kwenu sw ila si sw mtangany kuidai hii haki ? ni sw Samia kuuza Ngorongoro nyumban kwa wamasai hii ni sw kwenu ila si sw mtu kuwapigania wamasai kurudishwa kwenye ardhi mama ya Ngorongoro

Nina mashaka ccmu inakutumia vibaya , hizi sio zama za 1900s watu tumeelimika hatudanganywi tena , taarifa zote tunazipata hata mzuie media kuonyesha

CCMU NI MKOLONI MWEUSI , KEMEA CCMU NDO ADUI WA NCHI
 
Naunga mkono hoja zako.
kwamba ni sahihi mzenji kumiliki ardhi huku bara hata kuhodhi madaraka huku bara kuanzia ubalozi wa nyumba 10 ila sio sahihi mbara kumiliki ardhi kule zenji au hata kuwa mwenyekiti mtaani , JE KUKOSOA HILI NDO MTU AITWE MBAGUZI ?


KUNA MSTARI MWEMBAMBA KBS UNATENGENISHA UJINGA NA UCCMU
 
Sifa ya nchi moja ni kila raia awe huru popote pale ndani ya nchi hiyo kwanini mtanganyika haez kwenda kumilik ardhi kule zenj ? kwann mkristo wa bara haez kwenda zenji na kujenga kanisa akaabudu ?

Ccmu mnamezeshwaga ujinga pale Lumumba , neno ukoloni sijui linaingiaje kwenye madai ya hapo juu ? kwamba sisi tunaotetea muungano wa kwel wakoloni ila nyiny mnalinda ukandamizwaj wa mtanganyika ndo wapenda haki ?

ENDELEA KUCHUMIA TUMBO MUDA SI MREFU MTALIPA KWA UBAYA WENU KWA WATANGANYIKA
 
Weka ushahidi wa kuuzwa kwa Ngorongoro. Kwa hiyo ulitaka mazingira ya ngorongoro yaendelea kuharibiwa na idadi kubwa ya watu na mifugo iliyokuwa inakua kwa kasi kuliko wanyama ambao ndio kivutio cha utalii?
 
Kulilia Tanganyika Ni sawa na kuulilia ukoloni na matendo yake maovu ikiwepo ya kutugawa kwa kutucholea mistari ya mipaka wakiwa Ujerumani
 
Jitahidi uwe unaandika mambo kwa mtiririko mzuri wa mawazo na kimantiki , Unaandika mambo mengi Sana with zero evidence .
 
Jitahidi uwe unaandika mambo kwa mtiririko mzuri wa mawazo na kimantiki , Unaandika mambo mengi Sana with zero evidence .
Unahitaji ushahidi gani juu ya kauli za kibaguzi na chuki zinazotolewa katika mdomo wa Lissu? Kwamba wewe huzisikii au hujazisikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…