Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

Upuuzi mtupu
 
Unapata faida gani kuipambania Ccm huku wewe ukiwa na maisha magumu?

Watoto wa viongozi wao mbona hawapambani Kama nyie.
Kwa hiyo unataka Taifa lako liangamizwe mbele ya macho yako? Kwa hiyo ili wewe utetee Taifa lako ni mpaka ilipwe? Wanajeshi wangefanya hivyo nakuwa na mawazo hayo finyu si wangekuwa wakitelekeza silaha kwenye uwanja wa vita?
 
Kwa hiyo unataka Taifa lako liangamizwe mbele ya macho yako? Kwa hiyo ili wewe utetee Taifa lako ni mpaka ilipwe? Wanajeshi wangefanya hivyo nakuwa na mawazo hayo finyu si wangekuwa wakitelekeza silaha kwenye uwanja wa vita?



Mnapoteza Muda na nguvu hayo mambo mnayofanya na kuandika ujinga mitandaoni .

Wewe umri wako unabidi kupambania maisha yako na sio kukubali kutumika au kujituma kuandika mambo ambayo hayana msingi.

Hawa wanasiasa mnaowaona iwe Ccm au chadema watoto wao wanaishi vizuri ,familia zao zinaishi vizuri na kila kitu kipo sawa Ila nyie mnatumika.


Then Angelia hata mambo unayo-andika hayapo logically .
 
Eti kuna video humu iliwekwa unateswa na Hamas vipi ulichomokaje mikononi mwa wale magaidi wenzako
 
Kulilia Tanganyika Ni sawa na kuulilia ukoloni na matendo yake maovu ikiwepo ya kutugawa kwa kutucholea mistari ya mipaka wakiwa Ujerumani
Kama jina Tanganyika ndio ukoloni wenyewe unaokutisha vipi jina Zanzibar lilitolewa na mama yako? Ndio maana hulihofii? Kwa akili zako hizi naungana na mkuu wa majeshi kwamba hii nchi imevamiwa na wakimbizi wengi sana
 
Tanganyika.... Iko wapi katika Muungano???.... Maana Zanzibar yenyewe ipo..... Where is Tanganyika????
 
🚮🚮🚮🚮
 
Tanganyika.... Iko wapi katika Muungano???.... Maana Zanzibar yenyewe ipo..... Where is Tanganyika????
Kasome kitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere upate kuelewa zaidi
 
TUNGA KITABU UNAIJAZA SERVER NA UPUMBAVU KAMA HUU
 
Hebu tutajie mtanganyika aliyeko Zanzibar ambaye anamiliki Ardhi na ni mwenyekiti wa mtaa!.. kama hakuna nyie CCM ntakuwa wapakwa wesse shogereee.
 
Ungesubiri mada na hoja zenye kulingana na akili yako. Nikiweka nitakwambia maana hii ipo juu ya uwezo wako.
Endelea kukariri visentensi vyako vya kipunguani, kwa sababu ndipo uwezo wako unapoishiwa.

Umelaanika mnafiki wewe, wewe na kizazi chako kwa sababu ya unafiki wako. Uendelee kuishi kwa utegemezi wa uchawa wako maisha yako yote bila ya kuwa na msingi wa kimaisha wenye heshima na utu.
 
Lisu kwa kauli zake anakubalika kwa kila mtanganyika na mtanzania mpenda haki na usawa,we endelea na porojo zako
 
Ndio maana nimesema usubilie mada za uendana na uwezo wako wa kufikiri maana hii ipo juu ya uwezo wako.
 
Naona mmeanza kusema agombee ubunge baada ya kuona kwenye Urais Kila mwenye akili Timamu anamkataa na kumpinga vikali,kuwa hawezi na hafai kuongoza hata ubalozi tu wa nyumba kumi.
huo muda wa kubwabwaja ungetumia kwa ajili ya kufuatilia passport yako uhamiaji ili saa ikifika ya kwenda zanzibar usianze kuleta uzi hapa oh kuna urasimu
 
Lisu kwa kauli zake anakubalika kwa kila mtanganyika na mtanzania mpenda haki na usawa,we endelea na porojo zako
Hakuna anayemkubali na ndio maana anapingwa sana mitaani.ndio maana unaona kila siku anasema anatoa ufafanuzi kuhusu kauli zake.
 
Hakuna anayemkubali na ndio maana anapingwa sana mitaani.ndio maana unaona kila siku anasema anatoa ufafanuzi kuhusu kauli zake.
mtu mwenye akili lazima atoe ufafanuzi majizi ya ccm uwezo mdogo wa kuelewa mambo mengi hasa linapokuja suala la muungano
 
Atengwe na aogopwe kama ukoma!

Hata yeye mwenyewe sidhani kama anategemea kuungwa na kundi lenu la mapunguani!!

Hapa JF naona msio na akili ya analysis, mliojaa unafiki, mpo kama 6 tu. Na mnajitambua.

Ni kitu cha kawaida katika jamii yoyote ile kuwepo watu walionyimwa akili na tafakari. Msidhani mpo pekee yenu. Tofauti yenu na wale wa mataifa mengine, ninyi mnajivunia na kuonea fahari upunguani wenu, wakati wenzenu wa nchi nyingine huusikitikia upunguani wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…