Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

mtu mwenye akili lazima atoe ufafanuzi majizi ya ccm uwezo mdogo wa kuelewa mambo mengi hasa linapokuja suala la muungano
Kama anaeleweka kwa watu kwanini sasa kila siku anatoa ufafanuzi? Ameona watanzania wanamhambulia na kumpinga kwa hoja zake za kibaguzi ndio maana anabakia akihangaika na kutapatapa tu.
 
Mtaendelea kutengwa na kukimbiwa kama ugonjwa wa ukoma.maana hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono kwa kauli zenu za ubaguzi na chuki
 
Punguani, ulichobakiza ni kuokota makopo na kutembea na suruali begani. Hayo yanakuja kwa upande wako, kwa sababu hatua zote za awali za uwendawazimu na unafiki umekwishazipita.
Hili jitu ni lijinga haswa
 
ubaguzi ni propaganda za kisiasa. Wewe unaona ubaguzi mimi naona facts. Yes huu muungano una changamoto, sijasema uvunjwe, ila changamoto zifanyiwe kazi sio kufumbiwa macho, this time kizazi kinebadilika
Yes kila upande uwe na haki sawa
 
Kama anaeleweka kwa watu kwanini sasa kila siku anatoa ufafanuzi? Ameona watanzania wanamhambulia na kumpinga kwa hoja zake za kibaguzi ndio maana anabakia akihangaika na kutapatapa tu.
kwa sababu ana IQ kubwa hivyo watu wanapata taabu kuhusu hoja zake hasa maccm, kwahiyo mtu mwenye akili ni yule ambaye anaweza fafanua kauli zake pale ambapo wenye akili ndogo wanapo kwama kumuelewa
 
kwa sababu ana IQ kubwa hivyo watu wanapata taabu kuhusu hoja zake hasa maccm, kwahiyo mtu mwenye akili ni yule ambaye anaweza fafanua kauli zake pale ambapo wenye akili ndogo wanapo kwama kumuelewa
Mwenye akili kubwa akiongea mbele za watu hueleweka vizuri na kwa wepesi mkubwa sana.mfano wake Hayati Baba wa Taifa
 
Nashukuru punguani kufahamu ukoo wake!
 
Kasome kitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere upate kuelewa zaidi
Hicho kitabu ndiyo kinaeleza ilikoenda Tanganyika???? Na kwamba ibakie Zanzibar pekee?????
 
Kwa ushauri wa bure tu kaa kimya maana ufahamu ulionao ni asilimia 0.02 ya akili aliyonayo Tundu Lisu
 
Mshamba anaandika ushamba daima! Pure slave! disgusting!!
 
Lucas Mwashambwa!!
Hebu eleza serikali ya CCM ndio ipi?
Ndio maana watu wanakutukana kwa uelewa wako. Hivi katika inchi hii kuna serikali inayoitwa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…