Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna uchaguzi kama hakuna mabadiliko, hivyo yeyote anayekwenda CHADEMA ajue kwamba hakuna uchaguzi kwa nafasi yoyote endapo hakutakuwa na uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Uamuzi wa kushiriki Uchaguzi ni uamuzi wa vikao vya Chama, sio uamuzi wa mtu mmoja au mwanachama binafsi. Anayetaka kugombea Ubunge, au uwakilishi au Urais haamui yeye binafsi ni uamuzi wa vikao vya Chama, tulisema watu watangaze nia"