Pre GE2025 Tundu Lissu aendelea kusisitiza Wagombea CHADEMA, Unataka Ubunge ili iwaje? Watu wetu wanauawa kwa Risasi za Polisi!

Pre GE2025 Tundu Lissu aendelea kusisitiza Wagombea CHADEMA, Unataka Ubunge ili iwaje? Watu wetu wanauawa kwa Risasi za Polisi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hoja zake zina mashiko.

Chadema wanapaswa kujikita kwenye Kutetea Haki, Kupigania mabadiliko katika mchakato mzima wa Maendeleo ya Watu na Demokrasia hapa nchini.

Wakumbuke kwamba: Chama Cha ANC cha Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi kwenye nchi hiyo walikuwa hawana hata Mbunge mmoja na pia Chama hicho kilitangazwa na Makaburu kuwa eti lilikuwa ni 'Kundi la Kigaidi.'
Kwa kuwa ANC ilikuwa inapigania HAKI za Watu weusi wa nchi hiyo, Wananchi wengi sana waliwaunga mkono. Pia Wananchi hao Walijitolea kwa hali na Mali, na wakati mwingine Wananchi hao walikuwa tayari kujitolea mhanga kwa maisha na uhai wao ili kuitetea ANC hadi hapo Chama hicho kiliposhika hatamu katika Utawala wa nchi hiyo.
You can't change the system while you're outside! Always changes come from within. Sijui kama Chadema mnalielewa hili au mnashupaza shingo tu!
 
Wanaoutaka ubunge na nafasi zingine,

Wanaandaliwa kisaikolojia kukaa mstari wa mbele kupigania Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.

No reforms no Election.
 
CDM kususia uchaguzi kutakuwa na impact ipi? Post election CHADEMA haitakuwa na Rais, Mbunge wala Diwani hata mmoja, kitakuwa chama cha namna gani? CHADEMA wana mbinu nyingine za ku force fair ground kwenye uchaguzi ama wakishasema "No reform, no election" imeisha?
Chadema hawatasusia Uchaguzi, ila uchaguzi hautafanyika
 
Back
Top Bottom