Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna uchaguzi kama hakuna mabadiliko, hivyo yeyote anayekwenda CHADEMA ajue kwamba hakuna uchaguzi kwa nafasi yoyote endapo hakutakuwa na uchaguzi.
"Uamuzi wa kushiriki Uchaguzi ni uamuzi wa vikao vya Chama, sio uamuzi wa mtu mmoja au mwanachama binafsi. Anayetaka kugombea Ubunge, au uwakilishi au Urais haamui yeye binafsi ni uamuzi wa vikao vya Chama, tulisema watu watangaze nia"

Chadema wanapaswa kujikita kwenye Kutetea Haki, Kupigania mabadiliko katika mchakato mzima wa Maendeleo ya Watu na Demokrasia hapa nchini.
Wakumbuke kwamba: Chama Cha ANC cha Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi kwenye nchi hiyo walikuwa hawana hata Mbunge mmoja na pia Chama hicho kilitangazwa na Makaburu kuwa eti lilikuwa ni 'Kundi la Kigaidi.'
Kwa kuwa ANC ilikuwa inapigania HAKI za Watu weusi wa nchi hiyo, Wananchi wengi sana waliwaunga mkono. Pia Wananchi hao Walijitolea kwa hali na Mali, na wakati mwingine Wananchi hao walikuwa tayari kujitolea mhanga kwa maisha na uhai wao ili kuitetea ANC hadi hapo Chama hicho kiliposhika hatamu katika Utawala wa nchi hiyo.
Wanaosema wanataka debate waulizeni hizi hoja za Lissu. Maana naona Lissu hakuna mtu hata mmoja aweza kujibu hoja ya msingi. "Tuende kwenye uchaguzi kwa sheria hizi ili iweje"? Hata wandishi wa habari wameshidwa hoja
CDM kususia uchaguzi kutakuwa na impact ipi? Post election CHADEMA haitakuwa na Rais, Mbunge wala Diwani hata mmoja, kitakuwa chama cha namna gani? CHADEMA wana mbinu nyingine za ku force fair ground kwenye uchaguzi ama wakishasema "No reform, no election" imeisha?
CDM kususia uchaguzi kutakuwa na impact ipi? Post election CHADEMA haitakuwa na Rais, Mbunge wala Diwani hata mmoja, kitakuwa chama cha namna gani? CHADEMA wana mbinu nyingine za ku force fair ground kwenye uchaguzi ama wakishasema "No reform, no election" imeisha?
CDM kususia uchaguzi kutakuwa na impact ipi? Post election CHADEMA haitakuwa na Rais, Mbunge wala Diwani hata mmoja, kitakuwa chama cha namna gani? CHADEMA wana mbinu nyingine za ku force fair ground kwenye uchaguzi ama wakishasema "No reform, no election" imeisha?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna uchaguzi kama hakuna mabadiliko, hivyo yeyote anayekwenda CHADEMA ajue kwamba hakuna uchaguzi kwa nafasi yoyote endapo hakutakuwa na uchaguzi.
"Uamuzi wa kushiriki Uchaguzi ni uamuzi wa vikao vya Chama, sio uamuzi wa mtu mmoja au mwanachama binafsi. Anayetaka kugombea Ubunge, au uwakilishi au Urais haamui yeye binafsi ni uamuzi wa vikao vya Chama, tulisema watu watangaze nia"
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna uchaguzi kama hakuna mabadiliko, hivyo yeyote anayekwenda CHADEMA ajue kwamba hakuna uchaguzi kwa nafasi yoyote endapo hakutakuwa na uchaguzi.
"Uamuzi wa kushiriki Uchaguzi ni uamuzi wa vikao vya Chama, sio uamuzi wa mtu mmoja au mwanachama binafsi. Anayetaka kugombea Ubunge, au uwakilishi au Urais haamui yeye binafsi ni uamuzi wa vikao vya Chama, tulisema watu watangaze nia"
Huna hata logic kwenye ku counter hiyo point yake. Hizo ni nafasi mbili tofauti zikiwa na malengo tofauti,
anachodai lissu hapo si maamuzi yake kwamba nani agombee, bali mifumo ya chama. Refer uongozi uliopita