Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Akiwa mkoani Dodoma ambayo kwa asili ni ngome ya chama cha mapinduzi, Ndugu Lissu amefafanua kwa uzuri kabisa na kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka anamaanisha nini pale CHADEMA inaposema haki, uhuru na maendeleo ya watu.
Mheshimiwa Lissu ameelezea ukosefu wa haki kwa kutolea mfano chaguzi za serikali za mitaa ambazo wananchi walinyimwa haki ya kuchagua viongozi wake na badala yake serikali ya Magufuli ikawalazimishia wananchi viongozi wa kuwaongoza.
Akizungumzia kuhusu uhuru, Lissu akatolea mfano vitendo vya wakulima kugharamia wenyewe hatua zote za kilimo kuanzia kuandaa shamba, ku lakini mara baada ya uvunaji mazao yake yanapangiwa msururu wa vikanuni kanuni na tozo kibao. Katika mkutano huo wananchi wanaonyesha kuzikubali sana hoja za Lissu