Pre GE2025 Tundu Lissu afafanua No Reform No Election, hatuzungumzii kususia uchaguzi na hatutasusia bali Uchaguzi hautofanyika!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huwezi kula keki (kushiriki uchaguzi) halafu ukabaki nayo(kusema umesusia uchaguzi). Alitega miba katika njia (hoja) ambayo anatakiwa sasa aipitie.

That approach suits academic purposes, siasa ni practical, saiti
 
Kima kibaraka wa CCM njaa kali kwenye ubora wako pale unapopambania ugali wako. Hakika unastahili posho ya uchawa.
mpotoshaji ni fundi sana kujifanya anapata tabu sana ili kuchangiwa pocket money
 
Sote tunajua CCM ni tatizo kubwa zaidi ya kansa. Sasa kama proccess za uchaguzi hazitasaidia kuondoa hii kansa, basi hizo process hazina tija
 
Safi,uchafuzi ufike mwisho sasa,hii ndio Chadema mpya
 
Lissu Brain yake iko 1000% intact
 
Lissu lile tumbo na minyoo yake vinamsumbua….. uchaguzi utafanyika kama kawaida na hakuna wakuuzuia.
 
Ni sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…