MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 384
- 418
Sijamuona wa kujibu hoja za Chadema kwa sababu kufanya hivyo ndio litakua anguko la ccm. Wote wanaoropoka majukwaani ni mikwala tu. Nikisema wote namaanisha wote hajatokea mtu wa kujibu asije akatumbuliwa