M MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 384 Reaction score 418 Mar 5, 2025 #81 Sijamuona wa kujibu hoja za Chadema kwa sababu kufanya hivyo ndio litakua anguko la ccm. Wote wanaoropoka majukwaani ni mikwala tu. Nikisema wote namaanisha wote hajatokea mtu wa kujibu asije akatumbuliwa
Sijamuona wa kujibu hoja za Chadema kwa sababu kufanya hivyo ndio litakua anguko la ccm. Wote wanaoropoka majukwaani ni mikwala tu. Nikisema wote namaanisha wote hajatokea mtu wa kujibu asije akatumbuliwa
M Mushkov JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 357 Reaction score 686 Mar 5, 2025 #82 Shing Yui said: Sio ni lini CCM sema ni lini serikali itatajibu hoja za CHADEMA Click to expand... Sawa, mkuu.
Shing Yui said: Sio ni lini CCM sema ni lini serikali itatajibu hoja za CHADEMA Click to expand... Sawa, mkuu.