Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Tundu Lissu ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kilichojiri kwenye kikao cha Summit ya TCD iliyofanyika leo Aprili 2.
Lissu amesema utetezi uliotolewa katika kikao hicho ambacho kilimhusisha pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wasira dhidi ya mabadiliko ya Sheria za uchaguzi ni kwamba ameambiwa muda wa kufanya mabadiliko kwenye mifumo ya Uchaguzi hautoshi