02 April 2025
Lissu na Wasira wakutakana uso kwa uso leo katika kikao cha TCD
View: https://m.youtube.com/watch?v=Xr_XVavQNLA
Leo Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD) kimefanya Mkutano wa Viongozi wa Juu wa Vyama Wanachama wa TCD uliofanyika Katika ofisi za TCD.
Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa TCD Ndg. Tundu Lissu huku chama dola kongwe tawala CCM kimewakilishwa na M/kiti wake Mzee Stephen Wasira.
View attachment 3291389
Kwahiyo watu waendelee kufa na kuwa vilema.?!Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Tundu Lissu ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kilichojiri kwenye kikao cha Summit ya TCD iliyofanyika leo Aprili 2.
Lissu amesema utetezi uliotolewa katika kikao hicho ambacho kilimhusisha pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wasira dhidi ya mabadiliko ya Sheria za uchaguzi ni kwamba ameambiwa muda wa kufanya mabadiliko kwenye mifumo ya Uchaguzi hautoshi
Boss hivi ww ni mwajiriwa humu ee
Vita mnaitaka nyie na chizi wenu.Hawa mboga mboga fc wasituletee Vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa kuzuia Reforms kwenye mfumo wetu wa uchaguzi.
Apewe nchi tuChecki woga huu
TOKA MAKTABA :
13 March 2025
Sisi tunashinikiza serikali ili kuepuka vita vya wenyewe kwa wenyewe.Vita mnaitaka nyie na chizi wenu.
Nyie nani mshinikize serikali??Sisi tunashinikiza serikali ili kuepuka vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Wapigakura tuliozulumiwa.Nyie nani mshinikize serikali??
Kwani huu uchafuzi ni WA ghafulaMwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Tundu Lissu ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kilichojiri kwenye kikao cha Summit ya TCD iliyofanyika leo Aprili 2.
Lissu amesema utetezi uliotolewa katika kikao hicho ambacho kilimhusisha pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wasira dhidi ya mabadiliko ya Sheria za uchaguzi ni kwamba ameambiwa muda wa kufanya mabadiliko kwenye mifumo ya Uchaguzi hautoshi
Unaiweza vita mkuuHawa mboga mboga fc wasituletee Vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa kuzuia Reforms kwenye mfumo wetu wa uchaguzi.
Anaongea vita tu huyo pimbiUnaiweza vita mkuu
Vita italetwa na CCMUnaiweza vita mkuu
Urais utamuuaMwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Tundu Lissu ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kilichojiri kwenye kikao cha Summit ya TCD iliyofanyika leo Aprili 2.