Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana

Ni kweli zama zile kulikuwa na upepo huo madingi wakienda mbele kusoma basi wanarudi na wake wa kizungu. Wazee walikuwa obsessed sana ngozi nyeupe zama zile. Ni ujiko yaani.
Wakizeeka sasa huatawataka😂😂
 

..Magufuli alitumia silaha dhidi ya wapinzani jambo sio sahihi kabisa. Wapinzani wa Tanzania sio makundi ya magaidi au wanamgambo kuhalalisha kukabiliana nao kwa silaha.
 
mnataka tulinganishe na vibibi vyenu vya kibongo vilivyong'oka meno?
Mbona povu jingi, kung'oka meno inategemea, bibi yangu ana 89 na ana meno yote intact. We utakuwa chotara wewe. 😁
 
Huyo hapo ndiye mama yake na Maria sarungi nauliza tu
Hapana. Mama yake maria aliachana muda na prof.

Pia punguza Umbea kwenye maisha binafsi ya watu ; ukishajua ni mama yake au sio itakusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…