Jambo jema.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.
Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia
View attachment 3264674View attachment 3264677
Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye
Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La
View attachment 3264994
Uongo!Wazee wengi wenye nyadhifa enzi hizo walioa wazungu.
Stupid like!Kama hivyo yaani. Wazee wengi walichukua mamaza wa kitasha ili wapate watoto chotara, wenye "white supremacy".
Wanasiasa ni wanafiki sana, waone hawa!Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.
Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia
View attachment 3264674View attachment 3264677
Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye
Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La
View attachment 3264994
Umeandika upuuzi.Lisu mnafiki mkubwa kilichompeleka hapo ni kujikomba kwa Maria sarungi
Kikwete alikuwa mple mno na aliwakaribisha hadi akina Lisu ikulu wakanywa hadi chai naye a
Lakini Lisu alichomlipa Kikwete ni matusi kuliko akiyotukana Mbowe
Na Lisu ndie alisababisha CCM imteue mgombea mkali kumzidi Magufuli ili kumdhibiti Lisu
CCM ikaona kwa siasa akina Lisu walikuwa wakiendesha hatakiwi tena mtu mpole kama Kikwete kushika uraisi
CCM ikaamua dawa ya moto ni moto ikaamua Magufuli apewe uraisi
Na kweli Lisu haji kusahau ubabe wa Magufuli alikimbia nchi mwenyewe kama mwehu
CCM ukileta siasa za kistaarabu watafanya siasa za usitaarabu ukileta za kibabe CCM ndio baba wa ubabe hutoboi
Kitapundua kila kitu kichwa chini miguumjuu kila eneo ndio maana kinaitwa chama cha Mapinduzi
Kha, niteseke kwani hilo tone nakamuliwa Mimi?!! Si mnakamuliwa nyie nyumbu?!!!! Be serious basi!Unateseka ukiwa kibaigwa sehemu gani?
Hata Kwa sasa ukilinganisha na age mate wake.Hahaha, kwa enzi zake lakini.
Nywele zina changia pia.Hata Kwa sasa ukilinganisha na age mate wake.
Kama uliweza kumkazia jiwe pale butimba nan anaweza kukuletea udiktetaππππ au hakujuiUsinipangie cha ku- comment, huo ni UDIKTETA pia
Nilitaka kujua tu Wala SI Kwa umbeya asante lakini Kwa kunieleweshaHapana. Mama yake maria aliachana muda na prof.
Pia punguza Umbea kwenye maisha binafsi ya watu ; ukishajua ni mama yake au sio itakusaidia nini?
Hanijui huyo, Afande MwasifigaKama uliweza kumkazia jiwe pale butimba nan anaweza kukuletea udiktetaππππ au hakujui
Mzee kikwete ukimwangalia ,omeonesha furaha yote toka mwoyoniMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.
Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia
View attachment 3264674View attachment 3264677
Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye
Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La
View attachment 3264994
ππππMzee kikwete ukimwangalia ,omeonesha furaha yote toka mwoyoni
Kesho ndiyo wanazika Kinondoni
Nani kasema kastaafu? Huyu ndio anaempoteza Samia kusaini mikataba mibovu!! Sasa Hivi Wamesuka deal wanunue umeme toka Ethiopia ππHuo ujinga huwa wanaelezwa manyumbu tu huku wanapigwa tone-tone. JK unamwelezaje ulafa kama huo? Na umweleze yeye akiwa kama nani?!!! Ameshajistaafia.
Umejuona ndio nini wewe kilaza?π
Chadema tumekubaliana kutaja majina tu wala siyo MheshimiwaHivi huyu Erythrocyte kwanini huwa anamu-undermine sana Lisuu. Nyuzi zake zote anaanza kwa kuandika Tundu Lissu....!
Kumbuka Lissu ni Kiongozi na ana wadhifa. Huyu unapaswa kumuandika kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe/Ndugu Tundu Lissu.
Kama huyu ndiye mtendaji wa chama hiki wa mawasiliano, ame fail sana.
Hayo ya Maria kutomzika baba yake atajijua mwenyewe. Sihusiki kabisaa.... Maria hamziki baba yake.