Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Jana kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, alisema watu wasiojulikana wanapanga njama za kumuumiza kisha wamsingizie Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Soma, Pia: Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

Kupitia Clouds Fm Lissu amefunguka kila kitu kuhusu taarifa hiyo.
 
Cha muhimu achukue tahadhari, this time they'll never miss the target.
 
Magufuli ameishakufa sasa tunasubiri kumjua nani yupo nyuma ya uovu huu hatimaye!
Ninachokupendea Lissu ni UWAZI!

Hongera kwa kuwa makini Sana katika ulinzi wako binafsi, mawasiliano ya Lissu ni WhatsApp na Signal Tu na sio simu!
Kwani kiti cha Magufuli kakalia nani, mbona hili liko wazi hadi anasema hizo ni drama tu na kifo ni kifo.
 
Huko wakiamua huwa mara nyingi hawakosei.

Ila huyu banamdogo hawezi kubalika anaongea mno.
Mbona Lowasa hakuwa muongeaji? Je alikubalika? Je, ni nani asiyeongea mno? Bora ya Lissu ambaye 'huongea mno' lakini huongea facts. Mbona rais wenu siyo tu anaongea mno bali anaongea hovyo lakini ndiye rais.
 
Back
Top Bottom