Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

Mbona Lowasa hakuwa muongeaji? Je alikubalika? Je, ni nani asiyeongea mno? Bora ya Lissu ambaye 'huongea mno' lakini huongea facts. Mbona rais wenu siyo tu anaongea mno bali anaongea hovyo lakini ndiye rais.
Huyu wa sasa anaongea maneno ya kanga!
 
Magufuli ameishakufa sasa tunasubiri kumjua nani yupo nyuma ya uovu huu hatimaye!
Ninachokupendea Lissu ni UWAZI!

Hongera kwa kuwa makini Sana katika ulinzi wako binafsi, mawasiliano ya Lissu ni WhatsApp na Signal Tu na sio simu!
Mwigulu Nchemba na Makonda.
 
Mkuu kuna watu chini ya mwamvuli Rais wanalinda maslahi yao! Hata wakati Kikwete waliteka na kuuua, rejea ya Ulimboka!
Ila Rais akitamka leo kuanzia leo mtu akitekwa na halafu mtekaji asipatikane IGP na mkurugenzi mkuu wa TISS, hawana kazi. Nakuhakikishia kuanzia siku hiyo hakutakuwa na utekaji, na utekaji ukitokea, mwezi hautapita bila ya watekaji kupatikana.

Magufuli alitamka kuwa hataki kusikia mabasi yanashindwa kusafiri kwa sababu ya kuogopa kutekwa, mpaka leo mabasi yanasafiri masaa yote, uliwahi kysikoa basi au hata gari dogo limetekwa? Utekaji unaendelea kwa sababu Rais ametaka uendelee.
 
Lissu afunguka kuhusu wasiojulikana wanaotaka kumdhuru.View attachment 3178825
Hawa wapumbavu niliwaambia wakaniona mpumbavu niliwaambia wasishangilie kifo cha jpm bila kujua walio nyuma ya kifo chake wakanikebei ...nikosa kubwa sana kuwaingiza wazanzibar serikali kuu kwa sababu tayari wao wamesha jinyakulia mamlaka kamili ya nchi yao ...muungano ni bosheni tu
 
Mwasisi wa maujinga yote haya ni jpm.
 
Ila Rais akitamka leo kuanzia leo mtu akitekwa na halafu mtekaji asipatikane IGP na mkurugenzi mkuu wa TISS, hawana kazi. Nakuhakikishia kuanzia siku hiyo hakutakuwa na utekaji, na utekaji ukitokea, mwezi hautapita bila ya watekaji kupatikana.

Magufuli alitamka kuwa hataki kusikia mabasi yanashindwa kusafiri kwa sababu ya kuogopa kutekwa, mpaka leo mabasi yanasafiri masaa yote, uliwahi kysikoa basi au hata gari dogo limetekwa? Utekaji unaendelea kwa sababu Rais ametaka uendelee.
Mengine yanafanywa na waliopewa majukumu,ama waliojifunza udhaifu wa mfumo unavyofanya kazi
 
Back
Top Bottom