Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

Mwasisi wa maujinga yote haya ni jpm.
Jpm alikuwa anajenga nchi na mzalendo....kuua siyo shida shida ni unaua kwa haki gani ? jpm alikuwa anapambana na wahalifu uwe ccm au uwe upinzani utajuta sasa hivi samia ana pambana na raia wema uwe ccm au uwe upinzani utajuta tofauti ya jpm na samia ni kama mbingu na ardhi
 
Mkuu, kitaalam yawezekana bila hata kuwahusisha.
Nashauri utaalamu huo kwenye media zetu bado hatuna!,IJ is to investigate kama polisi,huwezi kufanya IJ bila kuhoji, hawa jamaa zetu sio tuu wamejiwekea kinga ya kutohojiwa,bali pia wanakinga ya kutotajwa majina hata mahakamani utasikia shahidi X,Y,Z 。

The only thing we can do ni mulika tuu kwa kuwa expose vitendo vyao viovu,na ukiwabana sana,hawachelewi kukupotezea!.
Nilipobandika bandiko hili humu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! hawa jamaa zetu wali mind。。。!

Kuna wana tasnia wenzetu wengi,wamepotezwa Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
 
Wakuu

Jana kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, alisema watu wasiojulikana wanapanga njama za kumuumiza kisha wamsingizie Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Soma, Pia: Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

Kupitia Clouds Fm Lissu amefunguka kila kitu kuhusu taarifa hiyo.
View attachment 3178728
niliwahi kuandika humu
Wanabodi

Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa nchini kwetu, hii ni idara yetu ya Usalama wa Taifa, TISS.

Introduction ya Mada
Hii ni mada very serious and sensitive kwasababu inaijadili idara yetu nyeti ya TISS ambayo kutokana na unyeti wake issues za idara hii huwa hazijadiliwi hovyo hovyo, wazi wazi na openly na kwa uwazi, hivyo ukiona hadi watu tunaojinasibu humu kuwa ni wazalendo wa kweli wa taifa hili halafu tukajitokeza openly waziwazi humu kuijadili TISS huku tukitumia majina yetu halisi, huu ni uthibitisho kuwa tunaleta mjadala huu kwa nia njema kabisa kwa kusukumwa na uzalendo wa kulisaidia taifa letu pale idara yetu hii nyeti, inapochafuliwa kwa kusingiziwa tuhuma za uongo, bila uthibitisho wowote, lakini pia kama ni kweli TISS inahusika, na hawa 'wasiojulikana', then tukubaliane kuwa TISS itakuwa ni imechafuka na inahitaji kusafishwa, the sooner the better!.
Kwa hili tishio la usalama wa Tundu Lissu aliloshikwa sikio kuwa kuna njama zinapangwa kumshughulikia Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
kama ni kweli njama hizo zilikuwepo ila sasa hazita tekelezwa tena kwasababu tayari zimeisha kuwa exposed

Then hoja za bandiko hili TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! bado zina sadifu!。
P
 
Back
Top Bottom