Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwani kiti cha Magufuli kakalia nani, mbona hili liko wazi hadi anasema hizo ni drama tu na kifo ni kifo.Magufuli ameishakufa sasa tunasubiri kumjua nani yupo nyuma ya uovu huu hatimaye!
Ninachokupendea Lissu ni UWAZI!
Hongera kwa kuwa makini Sana katika ulinzi wako binafsi, mawasiliano ya Lissu ni WhatsApp na Signal Tu na sio simu!
Mkuu kuna watu chini ya mwamvuli Rais wanalinda maslahi yao! Hata wakati Kikwete waliteka na kuuua, rejea ya Ulimboka!Kwani kiti cha Magufuli kakalia nani, mbona hili liko wazi hadi anasema hizo ni drama tu na kifo ni kifo.
Kama akitaka kuyamaliza anaweza,tatizo anakubali kuletewa habari za umbea za kumtisha akubaliane na matakwa yao,akiwa firm kuwa hataki hayo mambo hakika yatakoma.Mkuu kuna watu chini ya mwamvuli Rais wanalinda maslahi yao! Hata wakati Kikwete waliteka na kujua, rejea ya Ulimboka!
Kwamba huwa hawakosei shabaha!Huko wakiamua huwa mara nyingi hawakosei.
Ila huyu banamdogo hawezi kubalika anaongea mno.
Hiyo Suti ni Kali sana, kama vile Ameshakuwa RaisLissu afunguka kuhusu wasiojulikana wanaotaka kumdhuru.View attachment 3178825
Mbona Lowasa hakuwa muongeaji? Je alikubalika? Je, ni nani asiyeongea mno? Bora ya Lissu ambaye 'huongea mno' lakini huongea facts. Mbona rais wenu siyo tu anaongea mno bali anaongea hovyo lakini ndiye rais.Huko wakiamua huwa mara nyingi hawakosei.
Ila huyu banamdogo hawezi kubalika anaongea mno.
Nikasema Mh!Lissu afunguka kuhusu wasiojulikana wanaotaka kumdhuru.View attachment 3178825
Tundu Lissu ni Mtu makini wewe, subiri aapishwe tu Mwakani.Huko wakiamua huwa mara nyingi hawakosei.
Ila huyu banamdogo hawezi kubalika anaongea mno.
Unataka kusemaje?Huko wakiamua huwa mara nyingi hawakosei.
Ila huyu banamdogo hawezi kubalika anaongea mno.
God Is GreatMungu akiyemuokoa na zile risasi. Ndiye Mungu huyuhuyu atamlinda hata sasa. Lissu tunaokuelewa tuko wengi. Tunakuombea na Mwenyezi Mungu akulinde.