kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Dada babaako!Angekuwa anatukana mitusi angeshashitakiwa, acha umbea dada!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada babaako!Angekuwa anatukana mitusi angeshashitakiwa, acha umbea dada!
Kama sio ya Bwana Amsterdam basi ni ya mkewe!Lissu hakurupuki.....hiyo Nafasi mpaka Intelijensia itakapomaliza Vetting ndipo nafasi itazibwa.
Yupo Kileo ambaye huwamwagia watu Tindikali ni mkabila sana na sasa anamwandama Lemamrema hatakiwi kupewa hata kazi ya kufagia tu. John Mrema. mkaanga sumu.
Utakuwa na akili ya kuvukia barabara tu Wewe si bure!Kama sio ya Bwana Amsterdam basi ni ya mkewe!
Leta yako ya maanana hiyo nayo ni habari? Katafute habari za maana