Pre GE2025 Tundu Lissu afunguka kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu, asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais, wala mtu kutoka CCM

Pre GE2025 Tundu Lissu afunguka kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu, asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais, wala mtu kutoka CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kileo mrema mdee Boniface Wilium mungai ni watu wa kuwachunga sana kwani bado wana vinyongo vikubwa na uongozi wa Lisu
 
Hakuna consistency katika maneno ya Lissu.
Alisema mjumbe wa sita atakuwa Mr. Justine Case. Kutoka nje ya Chama.
 
Back
Top Bottom