Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

Bwana asipoulinda mji wakeshao, wakesha bure.
 
07 December 2021

Jenerali Ulimwengu: Tofauti za mawazo siyo uadui, kukubaliana kutofautiana ndiyo ustaarabu.


Tanzania tumefika hatua mbaya sana , Jenerali Ulimwengu Amlipua Tena Spika Job Ndugai, tumefikia Kutishana, kutofautiana Mawazo Si Uadui,wakina Sabaya Bado Wapo

Madaraka ya kukataza siasa, rais hana mamlaka hayo kikatiba . Hali matamko (lawlessness) ya kutokuwa na uhalali yanapendwa na viongozi wa sasa .... na utamaduni huo hatari unaanza kuzoeleka katika jamii kuanzia juu mpaka chini . Mfano msajili wa vyama anataka kuwakutanisha vyama vya siasa na Polisi, hii haieleweki na watanzania wanasema hewala si utumwa. Hili ni tatizo ...
Source : Mubashara Studio
 
Hakika,
Lissu alikuwa na haki kulipwa kuliko 19 Covid.
 
Nimeitafuta hii habari kwenye gazeti la Mwananchi, hata sijaiona, why?

Aliyeiona aseme tafadhali....
 
Think outside the box bro, ndiyo maana umepewa akili na kuku hakupewa

..But you have to convince me, or present ideas that are " outside the box " for me to consider.

..badala yake naona unalinganisha ubongo na uwezo wangu wa kufikiri na uwezo wa KUKU.

..Inawezekana nia yako ni kunitoa kwenye reli. 🤣🤣
 
Siyo rahisi Tundu Lisu kurudi nchini! Huku hatakuwa na uhalali wa kula bure na kulala bure kama huko ugaibuni ambako anakula kuku kwa mrija kwa gia ya ukimbizi wa kisiasa!!
Acha kuhisihisi.Ninyi ndiyo mijinga mnaoanzisha mijadala uchwara isiyo na a wala Chee!
 
Hakika,
Lissu alikuwa na haki kulipwa kuliko 19 Covid.
When the bottom assumes the role of the head, and the head takes the role of the bottom, the individual will be filled with anger, hate and murder.
 
Aina ya vikwanzo vinavyoweza kulenga kwa maafisa waandamizi ni kama hivi:

Treasury Targets Repression and the Undermining of Democracy


December 7, 2021
Designations Across Three Countries Latest in Week of Actions Leading to Summit for Democracy
WASHINGTON — Today, the U.S. Department of the Treasury’s Office of Foreign Assets Control (OFAC) is designating 15 actors across three countries in connection with serious human rights abuse and repressive acts targeting innocent civilians, political opponents, and peaceful protestors.

As part of a whole-of-government commitment to democracy, Treasury is taking a number of actions aimed at promoting accountability for those who undermine trust in democratic institutions.

Treasury is equipped with powerful tools to target the financial systems and flows that allow bad actors to profit from corruption and abuse. In addition, OFAC is designating two entities and two individuals that the Department of State has identified as responsible for certain gross violations of human rights in Iran.

“Ahead of this week’s Summit for Democracy, Treasury is targeting over a dozen government officials across three countries in connection with serious human rights abuse that undermines democracy,” said Director of the Office of Foreign Assets Control Andrea M. Gacki.

“Treasury will continue to defend against authoritarianism, promoting accountability for violent repression of people seeking to exercise their human rights and fundamental freedoms.”


REPRESSION AND THE UNDERMINING OF DEMOCRACY

Democratic values and human rights are under threat around the world. Human rights defenders, members of civil society groups, journalists, and ordinary people seeking to exercise their right to freedom of expression and right of peaceful assembly face threats of violent repression from authoritarian leaders.

Allowing this activity to continue unchallenged not only abandons and threatens victims of human rights abuses, but also poses a direct threat to the national security of the United States.

Countries with repressive political regimes are often unstable over the long run, and they export instability regionally and worldwide. These regimes are often a threat to the peace and security of other nations. Standing up for human rights is not only consistent with American values but also U.S. national interests.


REPRESSION IN UGANDA: ABEL KANDIHO

As commander of the Ugandan Chieftaincy of Military Intelligence (CMI), Major General
Abel Kandiho (Kandiho) and other CMI officers have arrested, detained, and physically abused persons in Uganda.

The CMI targeted individuals due to their nationality, political views, or critique of the Ugandan government. Individuals were taken into custody and held, often without legal proceedings, at CMI detention facilities where they were subjected to horrific beatings and other egregious acts by CMI officials, including sexual abuse and electrocutions, often resulting in significant long-term injury and even death.

During these incarcerations, victims were kept in solitary confinement and unable to contact friends, family, or legal support. In some cases, Kandiho was personally involved, leading interrogations of detained individuals.

Kandiho is designated pursuant to E.O. 13818 for being a foreign person who is or has been a leader or official of an entity that has engaged in, or whose members have engaged in, serious human rights abuse relating to his tenure.

Source : Treasury Targets Repression and the Undermining of Democracy


07 December 2021

Kampala, Uganda

UPDF reveals sanctions against CMI boss Maj. Gen Kandiho

Source : NTV Uganda
 
Siyo rahisi Tundu Lisu kurudi nchini! Huku hatakuwa na uhalali wa kula bure na kulala bure kama huko ugaibuni ambako anakula kuku kwa mrija kwa gia ya ukimbizi wa kisiasa!!
Sidhani kama Lissu aliwahi kukuomba chochote ili kuendesha maisha yake. Wewe huna uhakika wa maisha yako halafu unaongelea uendeshaji wa mtu mwingine ambaye ana nafuu ya maishà kuliko wewe? Achà hizo kaka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…