Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!

fb_img_1684160404371-jpg.2622826
 
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto waqke kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!!

fb_img_1684160404371-jpg.2622826

Wewe ni mganga njozi uliyeingia mioyoni mwa watu wote wanaohudhuria mikutano ya Lissu na ukajua kutoka mioyoni mwao kuwa hicho unachodai ndio kusudi lao ??
 
Tunahitaji uwiano wa mawazo na mitazamo bungeni. Atawasaidia sana upande wa pili kutojisahau!
 
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto waqke kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!!

fb_img_1684160404371-jpg.2622826
Sukuma Gang tulizeni vijambio,huu mpambano nyie hampo kabisa endeleeni tu kubweka bweka kama mbwakoko
 
Wewe ni mganga njozi uliyeingia mioyoni mwa watu wote wanaohudhuria mikutano ya Lissu na ukajua kutoka mioyoni mwao kuwa hicho unachodai ndio kusudi lao ??
Haya subiri upate rais toka Ubelgiji!!
 
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto waqke kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!!

fb_img_1684160404371-jpg.2622826
Hata agombeeudiwaniii haweziiii kushinda.
 
Upinzani kule Romania upo kwa hisani ya kitengo kurekebisha Viongozi Madarakani wanaokengeuka

Si mmeona Viongozi wakuu wa Kisiasa walipomiminika kwny Msiba wa Mwana kitengo Mkongwe

waliokimbia Nchi walikimbia kwa msaada wake

waliobaki walibaki kwa msaada wake

na hata waliovujishiwa siri za Serikali walivujishiwa kwa msaada wake

hata sasa Kaka yake Hayati Kitengo kagawa Makundi mawili vijana wake kila upande umepewa nguvu unataka shavu Rais Claus llohanis akiondoka na ili kuhakikisha kundi lingine haliibuki amewatengenezea Mgogoro feki ma yeye ndio mlezi wa makundi yote

Siasa ya Romania lazima uwe umekimbiza Mwenge CUBA kuilewa
 
Lissu hawezi kuwa Rais, CCM ni wabaya kama mnavyosema lakini hawajafikia zero brain ya Kumpa LISSU urais. Bora hata mbowe
 
Upinzani kule Romania upo kwa hisani ya kitengo kurekebisha Viongozi Madarakani wanaokengeuka

Si mmeona Viongozi wakuu wa Kisiasa walipomiminika kwny Msiba wa Mwana kitengo Mkongwe

waliokimbia Nchi walikimbia kwa msaada wake

waliobaki walibaki kwa msaada wake

na hata waliovujishiwa siri za Serikali walivujishiwa kwa msaada wake

hata sasa Kaka yake Hayati Kitengo kagawa Makundi mawili vijana wake kila upande umepewa nguvu unataka shavu Rais Claus llohanis akiondoka na ili kuhakikisha kundi lingine haliibuki amewatengenezea Mgogoro feki ma yeye ndio mlezi wa makundi yote

Siasa ya Romania lazima uwe umekimbiza Mwenge CUBA kuilewa
Wow!
 
Back
Top Bottom