Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!

fb_img_1684160404371-jpg.2622826
binadamu hakosagi ya kuongea,hapo mnawadanganya wenye macho,halafu baadaye mnajifungia ndani mnaanza kupanga mbinu za kuiba kura kama mlivyomuibia Mzee rowasa?
 
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!

fb_img_1684160404371-jpg.2622826
upeo mfupi wa kuchambua mambo.acha inyeshe tuone panapovuja.
 
Upinzani kule Romania upo kwa hisani ya kitengo kurekebisha Viongozi Madarakani wanaokengeuka

Si mmeona Viongozi wakuu wa Kisiasa walipomiminika kwny Msiba wa Mwana kitengo Mkongwe

waliokimbia Nchi walikimbia kwa msaada wake

waliobaki walibaki kwa msaada wake

na hata waliovujishiwa siri za Serikali walivujishiwa kwa msaada wake

hata sasa Kaka yake Hayati Kitengo kagawa Makundi mawili vijana wake kila upande umepewa nguvu unataka shavu Rais Claus llohanis akiondoka na ili kuhakikisha kundi lingine haliibuki amewatengenezea Mgogoro feki ma yeye ndio mlezi wa makundi yote

Siasa ya Romania lazima uwe umekimbiza Mwenge CUBA kuilewa
Plan hizo zitafail.

Njia ya HAKI ya kulivusha Taifa letu ni KATIBA mpya pekee. RASIMU ya WARIOBA irudi mezani.

Mzee WARIOBA ATEULIWE TENA, mchakato uendelee.

Ikitokea CCM ikafa Ili Kuzaliwa TANZANIA mpya, pia ni jambo jema.
 
hata KANU iliombewa ife ili Kenya Mpya izaliwe

Katiba mpya ikapatikana Kenya na KANU ikatokomezwa lakini sasa hivi wanaandamana wameshika mawe kutaka bei ya Unga ishuke
 
hata KANU iliombewa ife ili Kenya Mpya izaliwe

Katiba mpya ikapatikana Kenya na KANU ikatokomezwa lakini sasa hivi wanaandamana wameshika mawe kutaka bei ya Unga ishuke
Tanzania Si Kenya. Usilinganishe.
 
Ikiwa mtu kama Magufuli alikuwa rais, basi hakuna mtu asiyeweza kuwa Rais wa Tanzania kwa sasa.
Alishusha sana hadhi na heshima ya taasisi ya uRais.
 
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!

fb_img_1684160404371-jpg.2622826
Sukuma Gang wacheni woga kila mtu ashinde mechi zake
 
kama zero brain ya miaka 5 iliyopita aliweza, basi yeyote anaweza
Acha yule, hata huyu wa sasa wanaweza kumuweka kwenye ligi moja na TAL katika uelewa?
Kamuacha mbali sana!
 
Back
Top Bottom