Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
binadamu hakosagi ya kuongea,hapo mnawadanganya wenye macho,halafu baadaye mnajifungia ndani mnaanza kupanga mbinu za kuiba kura kama mlivyomuibia Mzee rowasa?Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
upeo mfupi wa kuchambua mambo.acha inyeshe tuone panapovuja.Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
Plan hizo zitafail.Upinzani kule Romania upo kwa hisani ya kitengo kurekebisha Viongozi Madarakani wanaokengeuka
Si mmeona Viongozi wakuu wa Kisiasa walipomiminika kwny Msiba wa Mwana kitengo Mkongwe
waliokimbia Nchi walikimbia kwa msaada wake
waliobaki walibaki kwa msaada wake
na hata waliovujishiwa siri za Serikali walivujishiwa kwa msaada wake
hata sasa Kaka yake Hayati Kitengo kagawa Makundi mawili vijana wake kila upande umepewa nguvu unataka shavu Rais Claus llohanis akiondoka na ili kuhakikisha kundi lingine haliibuki amewatengenezea Mgogoro feki ma yeye ndio mlezi wa makundi yote
Siasa ya Romania lazima uwe umekimbiza Mwenge CUBA kuilewa
hata KANU iliombewa ife ili Kenya Mpya izaliwePlan hizo zitafail.
Njia ya HAKI ya kulivusha Taifa letu ni KATIBA mpya pekee. RASIMU ya WARIOBA irudi mezani.
Mzee WARIOBA ATEULIWE TENA, mchakato uendelee.
Ikitokea CCM ikafa Ili Kuzaliwa TANZANIA mpya, pia ni jambo jema.
Tanzania Si Kenya. Usilinganishe.hata KANU iliombewa ife ili Kenya Mpya izaliwe
Katiba mpya ikapatikana Kenya na KANU ikatokomezwa lakini sasa hivi wanaandamana wameshika mawe kutaka bei ya Unga ishuke
Sukuma Gang wacheni woga kila mtu ashinde mechi zakeTunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
Magufuli alikuwa mlemavu wa akiliSijawahi kuona Rais Kilema
Wewe utakufa Kwa chuki bure Fanya Mambo yako kichwa usifugie nywele tukama zero brain ya miaka 5 iliyopita aliweza, basi yeyote anaweza
Acha yule, hata huyu wa sasa wanaweza kumuweka kwenye ligi moja na TAL katika uelewa?kama zero brain ya miaka 5 iliyopita aliweza, basi yeyote anaweza