huoni aibu kusema mmeuziwa?Lissu anawatuhumu Mbowe na Mnyika wameuza majimbo 17 ya ubunge, kuna ugomvi ndiyo maana wamemsusia mikutano yake yuko peke yake naw atu wake tu bila mwenyekiti na katibu mkuu.
Hahahaaaa..... Mimi ni mwenyeji wa Usseri Rombo!Kumbe Kiswahili hakimpigi chenga Rais pekee yake.
Johnthebaptist, hatusemi kuhairisha bali ni KUAHIRISHA. Au na wewe ni mhamiaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana ni matokeo ya barua ya msajili na BODABODA yake jana. CHADEMA utangazie umma uamua hatima ya ujinga huu.Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.
Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani kule tyumee anatakiwa lini?Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.
Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Lissu ana haha tu hana mpangilio wa kampeni
Yupo huku Karatu ndiyo anavuka mbuga ya Serengeti na Ngorogoro jana alitaka kulazimisha kuvuka usiku wakamkataza ikabidi awe mpole tu!Chuma bado kipo na leo mkutano upo pale plae
OoohhhYupo huku Karatu ndiyo anavuka mbuga ya Serengeti na Ngorogoro jana alitaka kulazimisha kuvuka usiku wakamkataza ikabidi awe mpole tu!
Mbowe hawezi kushinda Hai, alitelekeza jimbo muda mrefu.Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.
Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani anatakiwa kuwa Tume lini?Kuna mgongano kati Lissu na Mbowe, hali ni ngumu Lissu anadai mustakabali baada ya uchaguzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]Party ya nini maka?
Siye tuko Mbeya tunamsambaratisha Sugu!
Yani umechukua habari kwenye akaunti fake unatuletea humu? Mkutano ukiahirishwa anayetoa taarifa ni meneja wa kampeni Marcus Albanie au Tundu Lissu mwenyewe ndipo chama kinatangaza. Sasa hizi umetoa uchochoroni usije nazo humu. Sawa?
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.
Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Mmekodi fuso ngapi?Party ya nini maka?
Siye tuko Mbeya tunamsambaratisha Sugu!
Unaweza kujiita At Calvary, alafu pia ukasema uongo?!Ni kweli anaumwa ana hali mbaya sana[emoji2][emoji1][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]