kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
huoni aibu kusema mmeuziwa?Lissu anawatuhumu Mbowe na Mnyika wameuza majimbo 17 ya ubunge, kuna ugomvi ndiyo maana wamemsusia mikutano yake yuko peke yake naw atu wake tu bila mwenyekiti na katibu mkuu.