Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahairisha mkutano uliokuwa ufanyike leo kwenye Jimbo la Hai hadi itakapotangazwa tena

Lissu anawatuhumu Mbowe na Mnyika wameuza majimbo 17 ya ubunge, kuna ugomvi ndiyo maana wamemsusia mikutano yake yuko peke yake naw atu wake tu bila mwenyekiti na katibu mkuu.
huoni aibu kusema mmeuziwa?
 
Mnatamani mkutano usiwepo eeeh? Spana ziko pale pale!
 
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.

Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.

Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Yawezekana ni matokeo ya barua ya msajili na BODABODA yake jana. CHADEMA utangazie umma uamua hatima ya ujinga huu.
 
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.

Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.

Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani kule tyumee anatakiwa lini?
 
Lissu ana haha tu hana mpangilio wa kampeni

Unataka mpangilio? Subiri 28/10/2020 ndo utajua alikuwa na mpangilio au la. Watu wanaenda kimahesabu na si kivingine. Vipi sabaya alikuwa amewapanga kuvuruga hiyo mikutano au, hizo buku jero ulizopokea zitakutokea puani.
 
CCM bhanna......
Tumetumia media tumeshibdwa
Tumetumia wahuni kuleta vurugu tumeshindwa
Tumetumia msajili wa vyama... tumeshindwa
Tumetumia tume ya uchaguzi.... Tumeshindwa
Sasa labda karat ya mwisho twitter fake Twitter
 
CCM bhanna......
Tumetumia media tumeshibdwa
Tumetumia wahuni kuleta vurugu tumeshindwa
Tumetumia msajili wa vyama... tumeshindwa
Tumetumia tume ya uchaguzi.... Tumeshindwa
Sasa labda karat ya mwisho twitter fake na
 
Chuma bado kipo na leo mkutano upo pale plae
Yupo huku Karatu ndiyo anavuka mbuga ya Serengeti na Ngorogoro jana alitaka kulazimisha kuvuka usiku wakamkataza ikabidi awe mpole tu!
 
Ooohhh
Kwa hio zile story zingine ni za uongo? 😩
Tayari tulikua tanataka kuanza party
Sasa mikutano hai upo?
 
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.

Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.

Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Mbowe hawezi kushinda Hai, alitelekeza jimbo muda mrefu.
 
Huenda lile swala La tume nini, kwenye upande wa msemaji wa chama na mambo ya uchaguzi CHADEMA wanapwaya sana.
 
Yani umechukua habari kwenye akaunti fake unatuletea humu? Mkutano ukiahirishwa anayetoa taarifa ni meneja wa kampeni Marcus Albanie au Tundu Lissu mwenyewe ndipo chama kinatangaza. Sasa hizi umetoa uchochoroni usije nazo humu. Sawa?

Marcus Albanie ndiye meneja kampeni wa Tundu Lissu?

Namkubali sana huyu jamaa, Marcus. Na kiuhalisia yeye ndiye aliyepaswa agombee ubunge jimbo la Morogoro mjini...
 
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.

Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.

Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.

Maendeleo hayana vyama!

Na wewe bwana, rekebisha kiswahili chako. Nikiona hivi ulivyoandika, natoneshwa na kidonda cha kushuka kwa elimu ya Tanzania.

Siyo ahairisha bali ni Aahirisha!.
 
Msafara wa Lissu ulizuiwa katika geti mojawapo la mbuga ya Serengeti

Back
Top Bottom