Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahairisha mkutano uliokuwa ufanyike leo kwenye Jimbo la Hai hadi itakapotangazwa tena

Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.

Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.

Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.

Maendeleo hayana vyama!

Mara ya mwisho alienda uko nadhan yaliomkuta hatarudia kwenda tena Hai
 
Vipi Magufuli ambaye hakuwa na kamoeni juma zima, unamwongeleaje?
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.

Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.

Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Yani umechukua habari kwenye akaunti fake unatuletea humu? Mkutano ukiahirishwa anayetoa taarifa ni meneja wa kampeni Marcus Albanie au Tundu Lissu mwenyewe ndipo chama kinatangaza. Sasa hizi umetoa uchochoroni usije nazo humu. Sawa?
John Mbatizaji naona unanyoosha rula, unafanya vizuri endeleo. Makamanda uchwala wakiwa hawapo humu JF jukwa litapwaya sana.
 
Party ya nini maka?

Siye tuko Mbeya tunamsambaratisha Sugu!
Na matangazo yenu kutwa mara tatu kuwa magufuli atasindikizwa na diamond pamoja na alikiba mbona ujinga huo kusema atakuwa na tulia tu mmeshindwa hovyooo sana ccm
 
Tunaweza kumualika Sugu aje achane mistari bwashee!
 
Hapana,

Mimi nimechukulia kama joke!

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Pouwa bwana, ila mimi niliona ni utani mbaya, kwa sababu kwanza, watu wanaweza kuamini kwamba kweli Lisu anaumwa na wakatangaza hivyo, pili utaikosea imani yako kumzushia Mtu kitu Chan uongo! Imani yako kwa Mungu ni muhimu kuliko propaganda za siasa!
 
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.

Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.

Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.

Maendeleo hayana vyama!

Jamii Forums inaharibiwa na vichwapanzi kama wewe. Huna shughuli nyingine zaidi ya kushinda JF kubwatuka? Get a life!
 
Back
Top Bottom