At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Kwani vibaya si ni Jina tu.Unaweza kujiita At Calvary, alafu pia ukasema uongo?!
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani vibaya si ni Jina tu.Unaweza kujiita At Calvary, alafu pia ukasema uongo?!
Maana yake ni; pale Calvary, ambapo ndipo Yesu alichukua dhambi zetu!Kwani vibaya si ni Jina tu.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Ndio ila mimi nimeongea kujifurahisha!Maana yake ni; pale Calvary, ambapo ndipo Yesu alichukua dhambi zetu!
Hadi ameamua ku summon dola imsimamie.Mwenye mpangilio wa kampeni hana mpangilio wa hoja!!
Mtu kuumwa na kuwa na hali mbaya sana, jambo la kujifurahisha, ndugu yangu?!Ndio ila mimi nimeongea kujifurahisha!
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.
Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.
Maendeleo hayana vyama!

John Mbatizaji naona unanyoosha rula, unafanya vizuri endeleo. Makamanda uchwala wakiwa hawapo humu JF jukwa litapwaya sana.Yani umechukua habari kwenye akaunti fake unatuletea humu? Mkutano ukiahirishwa anayetoa taarifa ni meneja wa kampeni Marcus Albanie au Tundu Lissu mwenyewe ndipo chama kinatangaza. Sasa hizi umetoa uchochoroni usije nazo humu. Sawa?
Na matangazo yenu kutwa mara tatu kuwa magufuli atasindikizwa na diamond pamoja na alikiba mbona ujinga huo kusema atakuwa na tulia tu mmeshindwa hovyooo sana ccmParty ya nini maka?
Siye tuko Mbeya tunamsambaratisha Sugu!
Tunaweza kumualika Sugu aje achane mistari bwashee!Na matangazo yenu kutwa mara tatu kuwa magufuli atasindikizwa na diamond pamoja na alikiba mbona ujinga huo kusema atakuwa na tulia tu mmeshindwa hovyooo sana ccm
Hapana,Mtu kuumwa na kuwa na hali mbaya sana, jambo la kujifurahisha, ndugu yangu?!
Pouwa bwana, ila mimi niliona ni utani mbaya, kwa sababu kwanza, watu wanaweza kuamini kwamba kweli Lisu anaumwa na wakatangaza hivyo, pili utaikosea imani yako kumzushia Mtu kitu Chan uongo! Imani yako kwa Mungu ni muhimu kuliko propaganda za siasa!Hapana,
Mimi nimechukulia kama joke!
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Sawa mkuu. Nimekuelewa sana.Pouwa bwana, ila mimi niliona ni utani mbaya, kwa sababu kwanza, watu wanaweza kuamini kwamba kweli Lisu anaumwa na wakatangaza hivyo, pili utaikosea imani yako kumzushia Mtu kitu Chan uongo! Imani yako kwa Mungu ni muhimu kuliko propaganda za siasa!
🙏Sawa mkuu. Nimekuelewa sana.