PreGE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

PreGE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ni vizuri asalie korokoroni,
kisha J3 wampeleke mahakamani ili iwe fundisho kwa wahalifu wa aina hii wanaojificha nyuma ya mikutano ya hadhara kwa mgongo wa kisiasa :NoGodNo:
Mxieeeeww..!! Wewe unalamba asali unaona sawa tu..!!
 
Anaanza kupita njia za Mbowe zile ambazo Doctor Silaha alisema anakasirishwa sana na wanaosema Mbowe sio gaidi.Jamani tuweke akiba ya maneno,tumuombee tu ili wenye maamuzi ya kuwapa watu kesi wasimpe kesi ngumu Lisu.
Mtu amepona Risasi unasema kesi acha vichekesho kwa roho ya Lissu zile risasi alizopigwa akapona akaenda ulaya hasingerudi Tanzania ila Mwamba karudi akagombea na Urais
 
Leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee.

Polisi wamesema watampandisha mahakamani punde wakikamilisha taratibu zinazotakiwa

Pia soma: Pre GE2025 - John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini

View attachment 3298983
Kesi yake itaisha 2026
 
Serekali wasipokuwa makini wanaweza wakadhani wanamdhoofisha Lissu kumbe ndio wanamwandaa kuwa kiongozi kama akina Mandela.
Ahaa sio kwa Wananchi matahira kama Watanzania,hiii inawezekana kwa wananchi wanaojielewa kama wa Senegal sio Tanzania mzee.
 
Back
Top Bottom