Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

Hao WAHUNI wenye uwezo wa kuwaondoa WALINZI kwenye makazi ya Viongozi ili kufanikisha mauaji mchana kweupe, halafu wakaweza kuzuia uchunguzi wa kipolisi usifanyike na hatimaye wakazuia usomwaji wa ripoti ya kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama isisomwe bungeni ni KIBOKO. Bila shaka wana uwezo wa kuiteka nchi yoyote hapa Duniani.
 
Swali langu kwa Tundu Lisu, je yeye ndio alikuwa anawasiliana na hao mabeberu kuwapa taarifa nyeti alizoiba toka selikalini na kuisaliti nchi..?

Kama jibu ni ndio, kama kweli alikuwa anafanya hivyo basi hastaili kuishi kabisa.
Hilo naliunga mkono kwa 100%
 
Sina mengi ,ila baada ya kumsikiliza Lissu alichoongea pale njombe, Kama binadamu niliye na Utu , Kura yangu itaenda kwa Lissu

Nimemaliza
 
Sina mengi ,ila baada ya kumsikiliza Lissu alichoongea pale njombe, Kama binadamu niliye na Utu , Kura yangu itaenda kwa Lissu

Nimemaliza
Ni ajabu sana kwa CCM kumpitisha Mwanyika kugombea ubunge Njombe mtu waliyemtangaza kuwa ni msaliti, agent wa mabeberu, mwizi wa Accassia na majina yote mabaya.
Lakini hata mtu waliyemtuhumu kuwasiliana naye wakapanga kumuua Mungu akakataa nia hiyo ovu
 
Sina mengi ,ila baada ya kumsikiliza Lissu alichoongea pale njombe, Kama binadamu niliye na Utu , Kura yangu itaenda kwa Lissu

Nimemaliza
Na ndiyo maana kila anapoenda anasimulia kupigwa risasi, anatafuta huruma ya wapiga kura kama. Kwa hiyo ni vema kumuunga mkono. Sera baadaye.
2020 twende na zero brain Lissu.
 
Unajua ni kwa nini Mwanyika mwwnyewe amenyamaza? Unafikiri kwa kichwa cha chini?
 
hayo ni mambo yakawaida
 
Tundu ni mtu mwenye akili nyingi ya kutaka attention na kwa vile ni mwanasheria yupo vzr kutengeneza taswira ya kumfanya mtu ambaye Hana kosa kuwa mkosaji na aliye na kosa kuwa sio mkosaji. Hana ukubwa wa kusema afanyiwe assassination kama Archduke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…